KENYA : KUZINDUA MOBILE POST

KENYA : KUZINDUA MOBILE POST

Alex Gk

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
166
Reaction score
160
Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post.

Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta.
 
Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post.

Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta.
Cjui aisee
 
Kitu gani tena
Inaitwa M post,,, ni huduma kama posta ila yenyewe iko Mobile,, huna haja ya kwenda posta,, ila utapokea vifurushi na barua zako ukiwa hapo hapo kwako.

wao wanatumia sana sana namba yako ya simu kama anuani yako.
 
Back
Top Bottom