Alex Gk Senior Member Joined Sep 4, 2016 Posts 166 Reaction score 160 Nov 14, 2018 #1 Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post. Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta.
Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post. Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta.
Bujoro JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,115 Reaction score 2,231 Nov 15, 2018 #2 Alex Gk said: Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post. Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta. Click to expand... Cjui aisee
Alex Gk said: Kama unavyoona mdau,, hapo juu embu tujadili hii anuani ya mkononi iliozinduliwa Kenya inayofahamika kama M post. Je, tufanyeje ili nasi Tanzania itufikie mana itapunguza gharama za kwenda posta. Click to expand... Cjui aisee
Two dimension array JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,592 Reaction score 2,381 Nov 15, 2018 #3 Kitu gani tena
Alex Gk Senior Member Joined Sep 4, 2016 Posts 166 Reaction score 160 Nov 15, 2018 Thread starter #4 Two dimension array said: Kitu gani tena Click to expand... Inaitwa M post,,, ni huduma kama posta ila yenyewe iko Mobile,, huna haja ya kwenda posta,, ila utapokea vifurushi na barua zako ukiwa hapo hapo kwako. wao wanatumia sana sana namba yako ya simu kama anuani yako.
Two dimension array said: Kitu gani tena Click to expand... Inaitwa M post,,, ni huduma kama posta ila yenyewe iko Mobile,, huna haja ya kwenda posta,, ila utapokea vifurushi na barua zako ukiwa hapo hapo kwako. wao wanatumia sana sana namba yako ya simu kama anuani yako.