Kenya kwa kweli hii hapana too much

Meanwhile tanzanian international airports...these are not airstrips by the way..these are recognized airports

Hii vita kati ya Jirani na Jirani ama kweli kali.Ukiangalia zile picha juu za kule majangwani na hizi za viwana vyenye nyumba zenye bati unaiona kabisa vita hiyo.Jamaa nao wametoa ramani ya Airports zao. Lakini vile vibanda kule juu vinasema mengi sana.
 
Umeanza kukaukiwa na mambo ya maana umeamua kuleta utoto sasa, mwisho unasema Tanzania hakuna mavi mazuri kama wanayokunya wakenya, be serious jombaa.
wacha twende nae hvo hvo waswahili husema dawa ya moto ni moto tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…