Kenya kwa kweli hii hapana too much

the problem is expecting people who don't know english (watu wa broken english) to understand what an airstrip is and how it differs from an international airport...
This is slavery mentality!! Lugha ya kitumwa ndiyo inakufanya ufikirie hivyo!! Nashindwa nikuiteje wewe mtumwa wa akili.... mfyuuuu!!
 
Na hiyo ya Garissa ni international airport sivyo?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Seronera Airstrip
Leta picha ya Garissa airport badala ya ku-smear attack. Ni ujinga unachofanya haubadilishi hali halisi ya Garissa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…