Kenya launches Loiyangalani-Suswa power transmission infrastructure project.

Yani unabishana na hyo mpenda habari za bestiality...hana jipyaa hyo...
Kaona umeshampiga za uso so hana lingine zaidi ya kuleta ujinga wa kitanzania...mara aruke hku...ilmradi akutoe kwnye mada tu
Nipigwe za uso na watu wenye tribalism [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena wewe ni kilaza namba moja hapa JF
 
Bwahahaaaa!!!hilo halibadili km nyinyi ni wachawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipigwe za uso na watu wenye tribalism [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena wewe ni kilaza namba moja hapa JF
 
Hapa Tanzania ni ushabiki tu wa kipuzi na umeme huu wa mgao hata hapa Dar es salaam...tunachezea 1500 MW watu millioni 60 Karne ya 21 ama vipi wilson255 tukirudi kwenye Mada? Hawa Nyang'au Wana 3500 MW watu millioni 40.
 
Sikumbuki mara ya mwisho umeme kukatika ni lini, hivyo unavosema umeme wa mgao sikuelewi ujue
Hapa Tanzania ni ushabiki tu wa kipuzi na umeme huu wa mgao hata hapa Dar es salaam...tunachezea 1500 MW watu millioni 60 Karne ya 21 ama vipi wilson255 tukirudi kwenye Mada? Hawa Nyang'au Wana 3500 MW watu millioni 40.
 
Sikumbuki mara ya mwisho umeme kukatika ni lini, hivyo unavosema umeme wa mgao sikuelewi ujue
Utakumbuka aje Kama ni kitu Cha kawaida?

Soma hapa na Kama lugha inakuchanganya omba usaidizi utapata.

[/URL]

The electricity access rate in the country stood at 73.42 percent as at the end of April 2018, owing to various national electrification projects that have been undertaken by Kenya Power/FILE
NAIROBI, Kenya, May 8 – Electricity access rate in Kenya is the highest in East Africa according to the latest report from the World Bank tracking global achievements in sustainable energy for all.
According to The Energy Progress Report covering the period up to 2016, electricity access rate in Kenya stood at 56 percent, compared to Tanzania at 32.8 percent, Rwanda at 29.37 percent, Uganda at 26.7 percent and Burundi at 7.5 percent.
The electricity access rate in the country stood at 73.42 percent as at the end of April 2018, owing to various national electrification projects that have been undertaken by Kenya Power.
These projects include the Last Mile Connectivity Project and World Bank’s Global Partnership Output-Based Aid programme that targets informal settlements in urban areas and low-income households in the rural areas.
The national access rate has grown steadily in the last five years from a low of 32 percent in 2013 due to accelerated investment in the distribution network and increased investment in renewable energy generation.
Kenya has been listed among countries where much gains were made in ensuring that more citizens access electricity for lighting, cooking and driving businesses.
“Some of the strongest gains were made in Kenya, Bangladesh, Ethiopia, and Tanzania, which all increased their electricity access rate by 3 percent or more annually between 2010 and 2016. Sub-Saharan Africa’s electrification deficit has begun to fall in absolute terms for the first time.
Tens of millions of people now have access to electricity through solar home systems or connected to mini-grids,” reads the Energy Progress Report.
 
Nitakumbukaje mgao ambao haupo na haujatokea au kiswahili ni kigumu kwako
 
Nitakumbukaje mgao ambao haupo na haujatokea au kiswahili ni kigumu kwako
Asilimia 68 ya Watanzania hawana umeme, kumaanisha hata Dar yenyewe haina umeme was kutosha...huo ni mgao tayari.
 
Wale wafa njaa je??
Uchumi wenu kama ni mkubwa unawasaidia yule jamaa asingetoroka kwa kujishikiza ktk ndege ili afike abroad .
Na kuomba ni hurka ya mtu.
Haihusiani na uchumi.
Uchumi wetu usingetusaidia tungekua tunakuja Tanzania kuomba omba kama mnavyofanya, mumejazana kwenye barabara za Kenya mkiomba omba hadi aibu....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…