Kenya leo tunawapiga challenge

Carica_papaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
767
Reaction score
1,272
Harambee Stars leo lazima wakalishwe dhidi ya Kilimanjaro Stars.

Mungu Ibariki Tanzania!!
 
Mechi yoyote tukicheza na nyie ugenini lazima tuwaoe huko huko.
Uchawi wenu huwa hauna nguvu huko...
 
Kocha mwenyewe Mgunda? Kwa sifa ipi kapewa Kilimanjaro Stars zaidi ya u Tanga na urafiki na Msomali?
 
M
huwa tunafanya masihara kwenye vitu vya maana hivi mgunda na katwila nani alitakiwa kuwa bosi wa mwenzake?
Mgunda homeboy wa Karia. Kawa boss japo sijaona mafanikio yake kama kocha. Afadhali wangempa Mecky Maxime.
 
Daa Tumefungwa na Majirani.
Timu mbovu Cocha hajulikani alipotolewa!!
GOD have mercy on Us.
Utanga umeshamiri TFF
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
 
 
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa stars
 
Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa stars
Ni kweli kabisa. Ni kocha mzuri sana. Lakini Adolf Rishard si mtu wa kulamba watu miguu.
Watu wanapewa kama hisani.
 
Kikosi kina sura mpya nyingi.. Wachezaji hawaelewani kabisa
Kocha pia kupanga kikosi ni mtihani sana, timu haitengenezi nafasi.. Mzigo mkubwa anabeba Yondani + Manula + Mzamiru.
Uganda tumeenda kupiga zoezi tu hatuna timu hapo
 
Nipo na Zenji katika mashindano haya! Timu ya Tanganyika ipo hovyo hovyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…