APOSTLE LUKUMAY
Member
- Dec 11, 2017
- 17
- 22
Hallelujah
Karibu mno Mtumishi tujifunze neno la MUNGU kwa habari ya USHINDI:
1SAMWELI3:1-3.
Hapo mwanzo palikuwa na vita siku nyingi baina nyumba ya SAULI na nyumba ya DAUDI, Lakini DAUDI akastawi..
UNAWEZAJE SHINDA PASIPO HOFU(KIROHO NA KIMWILI).
1.Fanya agano na MUNGU kabla ya kuanza kutafuta USHINDI; kumbuka na faham wazi kuwa wakati ukijaribu kuenenda mbele, kuna wengine waenda kwa waganga na washiriki wa adui shetani nao watafuta msaada.
2.Imani ya USHINDI:
Imani humfanya MTU kufukia mahala ambapo hukutegemea kufikia kwa mawazo yako na jitihada zako.
3.Wivu wa kiasi:
Yakupasa ujifunze kwa makundi mawili -Walioshindwa na walioshinda kisha peleka kwa mizani ya moyo wako ukimshirikusha MUNGU.
HALLELUJAH
Hakika kama MUNGU aishivyo, na utakapofuatilia na kuitii sauti ya MUNGU na kumshirikisha kwa kila jambo ni lazima ufanikiwe.
MAOMBI NA MAOMBEZI KWA MAHITAJI YAKO NA USHAURI:
1.MAOMBI ya USHINDI wa malango yako KIROHO NA KIMWILI.
2.Magongwa ya aina mbalimbali na uponyaji baada ya kupiga na kukata simu kwa apostle.
3.MAOMBI ya kuharibu kazi za ibilisi shetani. N.k
Lukumay300@gmail.com
+255755203300
0755203300
0710341333
APOSTLE LUKUMAY DAR-ES-SALAAM TANZANIA.