KENYA: Madaktari 2,063 wafutiwa usajili

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Katika zoezi hilo Madaktari wa Kinywa 212 nao wamefutiwa usajili, hatua hii imechukuliwa kwa wataalamu wa sekta ya afya wanaofanya kazi katika Hospitali za Serikali na binafsi

Hatua hii imechukuliwa kwa maelezo kuwa waliofutiwa usajili walikiuka kanuni za usajili kwa kutohuisha leseni zao baada ya muda kuisha

Madaktari nchini Kenya wanapaswa kulipa kiasi cha shilingi za kitanzania 91,500 kila mwaka kama ada ya leseni

Hata hivyo bodi hiyo imetoa utaratibu wa kuomba upya usajili. Watakaohitaji wametaarifiwa kuwa fomu zinapatikana kwenye tovuti ya bodi hiyo

=======

The Kenya Medical Practitioners and Dentist Board has de-registered 2,063 medical practitioners and 212 dental practitioners.

The Kenyan doctors drawn from both the public and private health sector allegedly failed to comply with Section 14 of the Medical Practitioners and Dentists Act.

Section 14 refers to Section 13 that states: “Every such licence shall be for such period and may contain such conditions as the Director of Medical Services shall, with the consent or on the instruction of the Board, impose.”

Doctors are required to pay an annual retention fee of Ksh.4,000.

The latest move comes after the Board resolved to remove non- compliant practitioners from the register following a meeting that was held on March 29 this year.

According to the Board, the public can access the list of de-registered doctors and dentists on its website.

Medics who were struck out and want to be re-instated have been told to re-apply for their annual retention via the same website.

Kenyan doctors are expected to have a license from the Board for them to offer treatment to patients or run medical facilities.

There has been an upsurge of quack doctors in the health industry with the Board citing 22 cases pending in court.

The most recent case was of Mugo Wa Wairimu who was detained in police custody in November last year.

He had been arrested at Utalii Street in Nairobi for operating a clinic without the required credentials.

Another suspected fake doctor, who had been working as medical superintendent in Nandi County, was arraigned in court in November 2016.
 
Sometimes utaratibu wa kupata vibali unakua mguuumuuu mpaka unaamua ngoja twende tu tutajuana mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…