Kenya: Madaktari kutoka Cuba watekwa nyara

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928

Madaktari wawili kutoka nchini Cuba waliotumwa kufanya kazi kwenye Kaunti ya Mandera kilomita 810 kutoka jijini Nairobi wametekwa nyara na washukiwa wa Al-Shabab katika mji wa mpakani wa Mandera.

Mmoja kati ya walinzi wa madaktari hao ameuwawa huku mmoja akifanikiwa kutoroka.

Vikosi vya usalama vinawasaka wanamgambo hao ambao walijaribu kutorokea taifa jirani la Somalia.
 
Askari na jeshi la kenya ni Dhaifu sana..Hivi wadhungu hawa wanavyo lindwa na vikosi vya juu(Elite Squad) wanawezaje kutekwa?
Usishangae kwamba jeshi lenyewe fisadi limewateka wakitegemea kupewa fedha..Failed state
 
Habari za hivi punde: Madaktari wawili wa asili ya Cuba wanahofiwa kutekwa nyara katika shambulizi linalokisiwa kuwa la kigaidi katika kaunti ya Mandera #SemaNaCitizen
Lulu Hassan
Hassan Mugambi

Sent using Jamii Forums mobile app

======

Madaktari wawili kutoka nchini Cuba waliotumwa kufanya kazi kwenye Kaunti ya Mandera kilomita 810 kutoka jijini Nairobi wametekwa nyara na washukiwa wa Al-Shabab katika mji wa mpakani wa Mandera.

Mmoja kati ya walinzi wa madaktari hao ameuwawa huku mmoja akifanikiwa kutoroka.

Vikosi vya usalama vinawasaka wanamgambo hao ambao walijaribu kutorokea taifa jirani la Somalia.
 
Kuishi na msomali afadhali ya kuishi na cobra ndani. Utajua una hatari ujihami .
Hawa watu na imani yao hii ya kiibilisi watatesa watu sana. Madaktari wanawahudumia wao wenyewe !!. Lakini wanapata shinikizo za kiimani kufanya maasi.

Wakiachwa na serikali bila huduma ya afya wanapiga kelele . Waafrica hizi dini tumezilimbukia mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Kuishi na msomali afadhali ya kuishi na cobra ndani'Wasomali hata mimi sijui kwanini huwa sina Imani nao hata kidogo...
 
Hilo eneo la Mandera ni main targrt ya Alshabab lakini bado Wakenya hawajachukua hatua yyote kuhakikisha usalama wake! Hao madaktari hawakupewa ulinzi wa kutosh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…