luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
-
- #21
Rugemalila hiyo ni 'aerial view' ya Mbeya 'City'.Janerose mzalendo izo picha sijui ni za nchi gani hapo sio TZ
Kuna maisha ingine afadhali mbwa koko..Mnaishi vipi hapa? Yaani hata ukiangalia picha tu unatapikaluangalila Mkikuyu- Akili timamu nionyesheni nyumba zenu hapo ☝☝😆😆
mm sio rugemalila bana ...mi ni luangalilaa bhana wewe vp kijana hujapata huduma namba nn ? unatetema tetemaRugemalila hiyo ni 'aerial view' ya Mbeya 'City'.
Sawa Lubulila, hayo majina yenu ya kinyamwezi huwa yananikanganya sana. [emoji1]mm sio rugemalila bana ...mi ni luangalilaa bhana wewe vp kijana hujapata huduma namba nn ? unatetema tetema
Yes,Tulia bana wewe mnyamwezi, hii sio kambi ya wakimbizi ya Kakuma, hii ni Mbeya 'City'. [emoji1]
desperate comment thoAskari na jeshi la kenya ni Dhaifu sana..Hivi wadhungu hawa wanavyo lindwa na vikosi vya juu(Elite Squad) wanawezaje kutekwa?
Usishangae kwamba jeshi lenyewe fisadi limewateka wakitegemea kupewa fedha..Failed state
sio lubulila ni LUANGALILA ndugu mwenye huduma namba 6 00 -09-K1987 toka kajiado kaunti....by the way juzi nilikuwa natazama JK live pale citizen nikamuona PLO Lumumba (PHD) alilalamika sana kuhusu muundo wa serikali yaan kauntis akadai ni gharama mnooo ss nikuulize ww kama mkenya,.. ww unalionaje ilo swala Je usawahi kutafakari kuhusu muundo wa serikali za kaunti na gharama ambazo zinaendesha serikali izo ..... share your views pleaseSawa Lubulila, hayo majina yenu ya kinyamwezi huwa yananikanganya sana. [emoji1]
ilo eneo ni hatari sanaaaa yaani toka mandera kaunti mpaka somalia ni 1 kilometers TU sijui kwann ATPU na GSU walishindwa kuweka full security ? na ukizingatia ya kuwa zaidi ya miaka mi 2 iyo kaunti imekuwa na machafukooo ...... ? but I hope cubans soldiers are on the way to rescue his people ATPU GSU KDF must wake up
Tulia bana wewe mnyamwezi, hii sio kambi ya wakimbizi ya Kakuma, hii ni Mbeya 'City'. [emoji1]
Hamna tatizo lolote Wakunjombe, labda umuulize huyu mleta mada, anasema anaitwa Mugalila,sio lubulila ni LUANGALILA ndugu mwenye huduma namba 6 00 -09-K1987 toka kajiado kaunti....by the way juzi nilikuwa natazama JK live pale citizen nikamuona PLO Lumumba (PHD) alilalamika sana kuhusu muundo wa serikali yaan kauntis akadai ni gharama mnooo ss nikuulize ww kama mkenya,.. ww unalionaje ilo swala Je usawahi kutafakari kuhusu muundo wa serikali za kaunti na gharama ambazo zinaendesha serikali izo ..... share your views please
Yes,
Hayo ni makzi ya wanambeya
Ni moja kati ya TOP 5 region kwa kuzalisha mazao ya nafaka,
Vipi kunatatizo lolote?
Hivi ni kwanini kuna madaktari wa Cuba nchini Kenya. Isn't this a sign of a failed state
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake kamili ni Kakuma Refugee Camp. Kambi ya wakimbizi, wasudi na wasomali pia. Fanya maamuzi yako mwenyewe jombaa, ndio kesho yake usije ukaniuliza kama ninataka umpige mke wako miti.Unataka nikuletee picha za Kakuma.
boya ww ss ww unazan tz watu hatupo busy na life letu ...tunaangalia station malimbali mpaka za venezuela ukiachana na madudu yanayotokea mandera.. ujue hatusomi mtandaoni tunaangalia ktk stations what is going on ... live broadcasting is better than news paper .... ss we unashangaa mm kuangalia jk live mbona hushangai sister wako kutazama keep up with the kardashian ? WAKE UPyani jamaa wanaangalia mpka jfk...wanajua habari za mandera mpka km kutoka madera hadi somalia...duh!!hili linadhihirisha ya kwamba mna ilele ndoto ya kuijua kenya mitandaoni...
yani average kenyan ukitoa wana jf...sidhani km kuna mtu anajuwa kuna sehmemu inaitwa mbeya sijui iringa...yani sahau..watu wako busy na hamsini zao
Jina lake kamili ni Kakuma Refugee Camp. Kambi ya wakimbizi, wasudi na wasomali pia. Fanya maamuzi yako mwenyewe jombaa, ndio kesho yake usije ukaniuliza kama ninataka umpige mke wako miti.
hapana nafikiri kuna makubaliano ya ku exchange docts maana hata kuna baadhi ya madakatari wa KE walipelekwa cuba na hata juzi kuna mmoja alifariki wakaanza kulalamika eti wanaishi maeneo sio salama sijui poor hygiene sijui maisha ya kule ni gharama tofauti na pocket money wanayopewa .... serikali yao ikawaongezea cash ya kutoshaAre they there to transfer a technical capacity which Kenya lack? Or increasing man power?
komora096, usikubali huyu Rugemalila akuhadae, watz hawana budi ila kutizama Tv za Kenya. Ndio waepukane na vipindi vya umbea na utoto kwenye Tv zao, na taarabu na haleluya za kumsifia jiwe. Alafu hata sio lazima watizame Tv za Kenya moja kwa moja, baadhi ya stesheni zao huwa zinarusha Tv za Kenya kama Citizen Tv kutoka saa nne usiku hadi asubuhi.boya ww ss ww unazan tz watu hatupo busy na life letu ...tunaangalia station malimbali mpaka za venezuela ukiachana na madudu yanayotokea mandera.. ujue hatusomi mtandaoni tunaangalia ktk stations what is going on ... live broadcasting is better than news paper .... ss we unashangaa mm kuangalia jk live mbona hushangai sister wako kutazama keep up with the kardashian ? WAKE UP
komora096, usikubali huyu Rugemalila akuhadae, watz hawana budi ila kutizama Tv za Kenya. Ili waepukane na vipindi vya kitoto kwenye Tv zao, na taarabu na haleluya za kumsifia jiwe. Alafu hata sio lazima watizame Tv za Kenya moja kwa moja, baadhi ya stesheni zao huwa zinarusha Tv za Kenya kama Citizen Tv kutoka saa nne usiku hadi asubuhi.