Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia.

Yes wame push back ,hawajakimbilia kwenye social networks kulalama,yule yule yule so called Dr.ulimboka ,alivyotoka kutibiwa akafyata mkia na ikawa kimya
 
Raha ya bhangi changanya na Viagra.
FB_IMG_17132606298964680.jpg
 
Yes wame push back ,hawajakimbilia kwenye social networks kulalama,yule yule yule so called Dr.ulimboka ,alivyotoka kutibiwa akafyata mkia na ikawa kimya
Asingeweza hata kidogo kuongea tena 😅😅
 
Back
Top Bottom