Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia.

Your browser is not able to display this video.
 
Yes wame push back ,hawajakimbilia kwenye social networks kulalama,yule yule yule so called Dr.ulimboka ,alivyotoka kutibiwa akafyata mkia na ikawa kimya
 
Yes wame push back ,hawajakimbilia kwenye social networks kulalama,yule yule yule so called Dr.ulimboka ,alivyotoka kutibiwa akafyata mkia na ikawa kimya
Asingeweza hata kidogo kuongea tena πŸ˜…πŸ˜…
 
Sisi hatuombi kufika huko
Kwasababu hatuna uwezo wa kutetea Haki zetu..
Tuliokuwepo Tangu miaka ya 2000s tuligoma Leo vijana wanaoingia Kwenye Fani wanapata raha na mishahara mizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…