Leo miaka 51 uhuru wa kenye live citizen tv. Nikiangalia ukakamavu wa jeshi la kenye ukweli bado ndogo sana ukilinganisha na jwtz.ukiangalia wanavyo hand usalama wa uwanja viongozi wao ni kidhaifu sana. Hata mpangilio wa kuingia viongozi na kuwakaribisha viongozi kiusalama ni dhaifu kabisa.