Kenya: Mahakama Kuu yaidhinisha Jeshi kuingia Mtaani kurejesha Utulivu

Kenya: Mahakama Kuu yaidhinisha Jeshi kuingia Mtaani kurejesha Utulivu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mahakama Kuu imeidhinisha matumizi ya nguvu za Kijeshi kurejesha utulivu kufuatia Siku kadhaa za Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambapo takriban watu 20 wameripotiwa kuuawa

Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi alisema kupelekwa kwa Jeshi Mitaani ni muhimu ili kulinda miundombinu ya Serikali lakini akatoa Siku 2 za Mamlaka kufafanua ni muda gani Operesheni hiyo itadumu, pamoja na Sheria za utekelezaji wake

Chama cha Wanasheria cha Kenya, ambacho kilikuwa kimewasilisha ombi kwa Mahakama kuamuru jeshi kutoka Mitaani kimesema kinaheshimu lakini hakikubaliani na uamuzi huo

Juni 26, 2024, Rais William Ruto alikubali shinikizo na kuondoa Muswada wa fedha uliokuwa na mapendekezo ya kodi umiza, Siku moja baada ya Bunge kuvamiwa na kuchomwa moto na waandamanaji wenye hasira

...........

The Kenyan High Court has approved the use of military force to restore order, following days of anti-tax protests that at some point overwhelmed police.

More than 20 people have reportedly been killed in the nationwide protests that are largely led by young people opposed to government plans to increase taxes.

Armoured military vehicles patrolled streets in the capital, Nairobi, on Thursday as police fired tear gas to disperse protesters, who had threatened to storm the presidential palace.

A judge said that the military deployment was critical to protect government installations but gave the authorities two days to clarify how long the deployment would last, along with its rules of engagement.

"To deploy the military in a blanket manner without defining their scope of operation and the duration of their operation is a dangerous trend that can bring about militarisation of the country," ruled Justice Lawrence Mugambi.

The Law Society of Kenya, which had petitioned the court to order the army back to the barracks, said it "respects but disagrees" with the ruling.

President William Ruto on Wednesday bowed to pressure and said he would withdraw the finance bill containing the unpopular tax proposals, a day after parliament was briefly stormed and set ablaze by angry protesters.

Source: Citizen Digital
 
Walinde Property na kusaidia Polisi kulinda AMANI isitoweke, lakini sio kupiga au kuua Raia.
 
Walinde Property na kusaidia Polisi kulinda AMANI isitoweke, lakini sio kupiga au kuua Raia.
KDF wameonyesha uungwana, Bora watu wanaadamana bila fujo au uharibifu wao hawana shida na wewe, sio kama polisi hovyo kabisa, unaona apo minute 5 Kwa hii video, KDF walipita kukawa na shangwe, punde tu KDF wamepita polisi wakarudia kurusha teargas Kwa waandamanaji walikua hawana fujo.

View: https://youtu.be/syKIDv1tFzc?feature=shared
 
Polisi nao waache kurushia Mabomu ya Machozi kwa Raia wanaoandamana kwa Amani.
Mi ata nashindwa hua wanavutishwa nini manake ukiwapata mmoja mmoja ni watu wa kawaida sana, tena mnaeza mkaongea na akakuelewa, lakini wakiwa wengi hua wanajifanya kama magaidi hawataki kusikiza mtu ata uwaambie nini.
 
Back
Top Bottom