KENYA: Majambazi 6 wauawa kwa risasi na Jeshi la Polisi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411


Majambazi 6 wameuawa wakati wa mapambano na Jeshi la Polisi.

Walimteka dereva wa bodaboda pamoja na abiria wake(Mwanamke) na kumbaka Mwanamke huyo kwa zamu

Tukio hili limetokea eneo la barabara ya Dandora -Mwaki

=====

Police just gunned down 6 suspected robbers who average 17 years along Dandora-Mwiki Route.

They’re said to have kidnapped a motorbike rider & a female client whom they repeatedly raped.

Unknown to them, bike had a tracker & cops followed them to their hideout.
 
Halafu uwaone wale washenzi wa human Rights wakiwatetea na kuishitumu polisi eti wanatumia excessive force.
 
ngombe hao...mnambakaje mwanamke mmoja watu 6 wote...pumbavuu zenu
 
Never knew pussies are that hard to get these days
 
Alazwe Anapostahiri (AA)
Police Wa Kenya Wamewalaza Haraka Haraka
Naamini Moto Mkali Sana Hapo
 
kill those dickheads dead!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…