Kenya, Malawi and Ghana to be the first countries to introduce the malaria vaccine in the world

UN report on EPA inaeleza ujinga wa hawa watu! sishangai..
 

Yaani rafiki hii haina haja ya kutoka povu na kutukana.
Hizi jitihada ni nzuri, lkn maoni yangu ni kufanya kwa sampuli chache maana chanjo hii iko kwenye majaribio bado haijathibitishwa. Kwa upeo wangu na kutembea kwangu nchi nyingi Afrika yote ni moja. Madhara ya Ghana au Kenya au Malawi au hata nchi yoyote ya Afrika yananigusa.
 

Wacha unafiki, tulia mtafutiwe dawa muokolowe kutokana na hilo janga la Malaria, wataalam wapo kazini kwenye mojawapo wa maabara bora Afrika, KEMRI na wanafanya kitu kitakachobadilisha maisha yenu.
Ndio huu unafiki mlikua nao wa kujifanya kujali sana kipindi Mpesa inaanza Kenya, leo hii mumeichangamkia balaa, ndio zenu kujifanya jeuri ilhali hamna lolote, nyie ni wale wale pale Tanganyika.
 
[emoji17]
 

Huwa napenda mtu anayejadili kwa kujikita kwenye hoja. Mara nyingi sipendi mipasho.
Naongelea kama hiyo dawa imefanyiwa uchunguzi wa mwisho mpaka wachanje watu wengi kiasi hicho. Kama huna majibu ni bora uka kaa kimya. Naamini ya kuwa si kila kitu una kijua, na ndivyo ilivyo kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…