Wanawake mna laana nzito hakika si bure mtt hawezi kulilia kitu ambacho hakufunzwa nadhani hapo kuna jamboDunia imemaliza kuvua nguo zote
Mwe kama ushirikina flani, inatisha.Wanawake mna laana nzito hakika si bure mtt hawezi kulilia kitu ambacho hakufunzwa nadhani hapo kuna jambo
msisingizie ushirikina sema mnakuwa na maadili mabovu kwa watt wenuMwe kama ushirikina flani, inatisha.
Hapa kuna walakini kidogo..kama hilo ni kosa inabidi shilole,irene uwoya na zari pia wakamatwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] atakuwa wa kiume lazimaMtoto wa kike wakiume.. !
Ha ha ha ha!huyu mama aje na jf itakuwa kimya!
R. I. P. Kama una shukaWe dunia hebu simama nishuke maana da!si kwa nyuchi za siku hizi ntapofuka macho bure