Kenya: Mbunge Adai Walihongwa Milioni 41 Kupitisha "Finance Bill"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mambo yanazidi kuwekwa wazi huko Kenya baada ya Mbunge mmja kudai kwamba Walihongwa Shilingi Milioni 41 na Serikali ya Ruto Ili Kupitisha Msaada wa sheria ya Fedha unaolalamikiwa na raia wa Nchi hiyo na kuzusha maandamano.

View: https://www.instagram.com/p/C8oOuHhq_xK/?igsh=MTN6MWdhdjg4OXlhag==

My Take
Chadema mnasemaje ikiwa haya yanafanyika licha ya Kenya kuwa na Katiba Mpya na Demokrasia ya Vyama vingi..

Kila siku nawaambia Kinachoitwa Katiba Mpya ni Utapeli wa Wanasiasa kutafuta ulaji ila hakina maana yeyote Kwa mwananchi wakaida kama wanavyolishwa maneno na Wanasiasa uchwara wanapotaka kuwafanya ngazi ya kwenda kula.
 
Choice

M-pesa ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana haswa kenya ilipoanza pale mwaka2007, lakini hao hao waliangukia pua pabaya sana pale south africa katika huduma hio hio.

Sijui ni vipi mwalimu nyerere aliweza kuweka makabila 120+ yawe yanaelewana tofauti na kenya. Hata wao wanajiuliza inawezekana vipi tanzania pasiwe na ukabila ila kwetu ukabila bado ni kidonda kibichi.

Plausability doesn’t neccessary imply validity.
 
Mambo yanazidi kuwekwa wazi huko Kenya baada ya Mbunge mmja kudai kwamba Walihongwa Shilingi Milioni 41 na Serikali ya Ruto Ili Kupitisha Msaada wa sheria ya Fedha unaolalamikiwa na raia wa Nchi hiyo na kuzusha maandamano.

View: https://www.instagram.com/p/C8oOuHhq_xK/?igsh=MTN6MWdhdjg4OXlhag==

My Take
Chadema mnasemaje ikiwa haya yanafanyika licha ya Kenya kuwa na Katiba Mpya na Demokrasia ya Vyama vingi..

Kila siku nawaambia Kinachoitwa Katiba Mpya ni Utapeli wa Wanasiasa kutafuta ulaji ila hakina maana yeyote Kwa mwananchi wakaida kama wanavyolishwa maneno na Wanasiasa uchwara wanapotaka kuwafanya ngazi ya kwenda kula.

Ujinga kabisa ,Kwa hiyo watu waache kudai katiba eti Kwa sababu wabunge Kenya wamehongwa. Hivi shule huwa mnaenda kufanya nini?
 
Hujaelewa hata hoja,by the way Katiba Mpya Ina Msaada gani Kwa common mwananchi?

Mwisho sio Kenya tuu,kokote Katiba haiana maana yeyote Kwa mtu wa kawaida na haijawahi xuoa wizi au upuuzi mwingine wa Wanasiasa.

Mara 10 kuwa na strong person
 
Choice

Unaposema lissu na wapambe wake unaamanisha nini?
Je katibq hiyo itakuwa kwa Lissu na wapambe wake au ni kwa Watanzania wote?
Ndio wanaopaparikia maana itamsaidia yeye na Wanasiasa wenzake(wapambe).
 
itamsaidia yeye na Wanasiasa wenzake(wapambe).
Choice

Una maana gani unaposema itamsaidia yeye na wapambe(wenzake)?

Unataka kusema muongozo utakuwa unasema katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ajili ya tundulissu na wapambe wake?

au itasema katiba ya jamhuri ya Tanzania kama Watanzania walivyokubaliana kwa pamoja?
 
Lengo umuite kiazi mviringo mods wakupige ban.
 
Katiba ya Kenya ina kipengele cha recall kwa hao waliohongwa endapo itathibitika .

Haya tuje Tanzania kipengele gani kinaruhusu kiongozi kuwa recalled kwa matumizi mabaya ya ofisi?

Soma hapo procedures.

Hujaelewa hata hoja,by the way Katiba Mpya Ina Msaada gani Kwa common mwananchi?

Mwisho sio Kenya tuu,kokote Katiba haiana maana yeyote Kwa mtu wa kawaida na haijawahi xuoa wizi au upuuzi mwingine wa Wanasiasa.

Mara 10 kuwa na strong person
Kama katiba haina maana Kwa nini CCM wanaiogopa?
 
Katiba ya Kenya ina kipengele cha recall kwa hao waliohongwa endapo itathibitika .

Haya tuje Tanzania kipengele gani kinaruhusu kiongozi kuwa recalled kwa matumizi mabaya ya ofisi?

Soma hapo procedures.

Mkuu unaweza kutumia nguvu nyingi sana kumwelewesha mpumbavu. Mtu hajui wala hajawahi kusoma katiba yenyewe ya Kenya ila anasema haina msaada.
Ni upumbavu tu mtoa mada anajaribu kusema.
 
Back
Top Bottom