ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ChoiceChadema mnasemaje ikiwa haya yanafanyika licha ya Kenya kuwa na Katiba Mpya na Demokrasia ya Vyama vingi..
ChoiceLisu na wapambe wake wake watujibu.
Ujinga kabisa ,Kwa hiyo watu waache kudai katiba eti Kwa sababu wabunge Kenya wamehongwa. Hivi shule huwa mnaenda kufanya nini?Mambo yanazidi kuwekwa wazi huko Kenya baada ya Mbunge mmja kudai kwamba Walihongwa Shilingi Milioni 41 na Serikali ya Ruto Ili Kupitisha Msaada wa sheria ya Fedha unaolalamikiwa na raia wa Nchi hiyo na kuzusha maandamano.
View: https://www.instagram.com/p/C8oOuHhq_xK/?igsh=MTN6MWdhdjg4OXlhag==
My Take
Chadema mnasemaje ikiwa haya yanafanyika licha ya Kenya kuwa na Katiba Mpya na Demokrasia ya Vyama vingi..
Kila siku nawaambia Kinachoitwa Katiba Mpya ni Utapeli wa Wanasiasa kutafuta ulaji ila hakina maana yeyote Kwa mwananchi wakaida kama wanavyolishwa maneno na Wanasiasa uchwara wanapotaka kuwafanya ngazi ya kwenda kula.
Hujaelewa hata hoja,by the way Katiba Mpya Ina Msaada gani Kwa common mwananchi?Ujinga kabisa ,Kwa hiyo watu waache kudai katiba eti Kwa sababu wabunge Kenya wamehongwa. Hivi shule huwa mnaenda kufanya nini?
Ndio wanaopaparikia maana itamsaidia yeye na Wanasiasa wenzake(wapambe).Choice
Unaposema lissu na wapambe wake unaamanisha nini?
Je katibq hiyo itakuwa kwa Lissu na wapambe wake au ni kwa Watanzania wote?
Choiceitamsaidia yeye na Wanasiasa wenzake(wapambe).
Watu Wana bills za kulipaKwa nini Katiba Mpya ya Kenya haijazuia Rushwa? Lisu na wapambe wake wake watujibu.
Lengo umuite kiazi mviringo mods wakupige ban.Choice
Una maana gani unaposema itamsaidia yeye na wapambe(wenzake)?
Unataka kusema muongozo utakuwa unasema katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ajili ya tundulissu na wapambe wake?
au itasema katiba ya jamhuri ya Tanzania kama Watanzania walivyokubaliana kwa pamoja?
Kama katiba haina maana Kwa nini CCM wanaiogopa?Hujaelewa hata hoja,by the way Katiba Mpya Ina Msaada gani Kwa common mwananchi?
Mwisho sio Kenya tuu,kokote Katiba haiana maana yeyote Kwa mtu wa kawaida na haijawahi xuoa wizi au upuuzi mwingine wa Wanasiasa.
Mara 10 kuwa na strong person
Mkuu unaweza kutumia nguvu nyingi sana kumwelewesha mpumbavu. Mtu hajui wala hajawahi kusoma katiba yenyewe ya Kenya ila anasema haina msaada.Katiba ya Kenya ina kipengele cha recall kwa hao waliohongwa endapo itathibitika .
Haya tuje Tanzania kipengele gani kinaruhusu kiongozi kuwa recalled kwa matumizi mabaya ya ofisi?
Soma hapo procedures.
How to Recall Your Member of Parliament
Political parties have no sensible structures to recall a member of parliament. The power is solely vested in the electorates.www.kenyans.co.ke