Wa-Kenya watakuja na kudai Bilionea Ephraim Maina Fury as Ephraim Maina flies chopper to launch wooden bridge anaonesha hiyo ndiyo dalili za maendeleo ya kasi ya miundo-msingi (miundo-mbinu) ya barabara/madaraja nchini Kenya kupita nchi zote za Afrika Mashariki.