Kenya: Mchungaji awaamuru waumini wa kiume kulamba supu iliyotapakaa kwenye vidole vyake

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Mchungaji mwingine kijana ni gumzo baada ya kuwaamuru waumini wake wa kiume kulamba vidole vyake baada ya kuvitumbukiza kwenye supu na ugali.

Washarika wa kiume wanaweza kuonekana kuwa wanyenyekevu sana na kulamba vidole vya mhubiri bila wasiwasi.

Ni video ambayo imeibu hisia tofauti mitandaoni na hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

djskold: Hivi ndio Safaricom hutufanyia😡😡🥺

allantafari: I stopped blaming pastors who do this..Kondoo wao ndio wanafaa akili how can a man lick another man's hand eating ugali and Omena??

kigothochris: Yeye akule ugali na mboka mimi nimlambe vidole 😂😂😂😂 never

.nation.lucid.: what did I just watch😂😂😂lmfao

didakailo: 😂😂😂😂😂😂😂 hawa watu mungu mwenyewe hata Ana shangaa huko aliko

isack_shei: 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂apo akili nkama iko on leave

qualitycarpetcentre: Yani hapa ndio ma pastors wamefika let's open our eyes to see that we are being used😮😂

Wakati huo huo vido nyingine inayoenea mitandaoni, inaonyesha mchungaji akiwapa waumini wake viboko baada ya kuingia kanisani wamechelewa.

View attachment 2110554

View attachment 2110572
Hili kanisa anasali MK254 na Tonny 254
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom