Mchungaji mwingine kijana ni gumzo baada ya kuwaamuru waumini wake wa kiume kulamba vidole vyake baada ya kuvitumbukiza kwenye supu na ugali.
Washarika wa kiume wanaweza kuonekana kuwa wanyenyekevu sana na kulamba vidole vya mhubiri bila wasiwasi.
Ni video ambayo imeibu hisia tofauti mitandaoni na hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;
djskold: Hivi ndio Safaricom hutufanyia๐ก๐ก๐ฅบ
allantafari: I stopped blaming pastors who do this..Kondoo wao ndio wanafaa akili how can a man lick another man's hand eating ugali and Omena??
kigothochris: Yeye akule ugali na mboka mimi nimlambe vidole ๐๐๐๐ never
.nation.lucid.: what did I just watch๐๐๐lmfao
didakailo: ๐๐๐๐๐๐๐ hawa watu mungu mwenyewe hata Ana shangaa huko aliko
isack_shei: ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐apo akili nkama iko on leave
qualitycarpetcentre: Yani hapa ndio ma pastors wamefika let's open our eyes to see that we are being used๐ฎ๐
Wakati huo huo vido nyingine inayoenea mitandaoni, inaonyesha mchungaji akiwapa waumini wake viboko baada ya kuingia kanisani wamechelewa. View attachment 2110554