Kenya: Mfanyakazi atoweka baada ya kutumia fedha za bosi wake kubet na kuliwa

Huyu si mwingine nj mwana JamiiForums mwenzetu MK254 tumuombee asije jidhuru
 
Mimi niliachaga kubet. Maana kuna wakati unakula na inakupa hamasa, lakini siku ukiliwa unaliwa kwelikweli tena unapopategemea kushinda ndo panaharibikia hapo. Mambo yote yanaharibika kabsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…