Kenya: Mgonjwa wa kwanza wa Corona afariki dunia

For sure this is sad news but what is irritating me is Tanzanians I dont them taking any stringent measures!! Mungu tusaidie
Unge tumia lugha mama ungeeleweka zaidi... i dont them taking![emoji849][emoji849][emoji849]

Fort ikoma 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
 
Corona yenyewe kama yenyewe bila assist kutoka kwa magonjwa mengine ni ngumu kumuua mtu mweusi

Labda kama wazungu walitupa package ya trial huenda kuna full version ambayo inaweza kumsumbua sumbua mtu mweusi

It's Scars
 
sijawai ona nyani ikiandika Kiiengereza. nimeshangaa sana
So you still believe to verbalize in English delineates one's quintessential intelligence? That's why I said you are worse than savages.

Kiiengereza=Kiingereza.
 
Reactions: Oii
So you still believe to verbalize in English delineates ones quintessential intelligence? That's why I said you are worse than savages.

Kiiengereza=Kiingereza.
Hata kiswahili pia unamkosoa? Basi mna yenu mm sipo....
Ila hili sio jukwaa la lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…