joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hiyo video utapata majibu, hawa jamaa ni watu wa kujikweza sana, mkenya hata kama hana kitu, lakini atakopa au hata kuwauwa jamaa zake ili aishi maisha ya juu.Lkn nijuavyo mimi Kenya ina middle class kubwa klk TZ yetu, yaani Wakenya weusi wanaoweza kumudu kutumia fedha nyingi ni wengi klk TZ yetu, mfano tu Utalii kuna Wakenya wengi weusi wanakuja kutalii TZ wakati wa Sikukuu hoteli zilijaa Wakenya weusi lkn ni ngumu kupata Watanzania wengi ambao wanaweza kujaza hoteli kama Watalii hata hapa hapa Bongo!
Hivyo Kenya bado ni tajiri klk TZ ingawaje pengo linazidi kupungua siku hadi siku!
BTW sijaiangalia hiyo video!