Kenya misses Waki timeline

Namtih58

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
234
Reaction score
46
Wabungu wa kenya wamepinga kupitizwa kuundwa tribunal ya kuchunguza wahusika kwenye ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mwaka jana.

Sasa sijui kama Koffi Annan ata peleka mashtaka ICC huko Hague ama vipi.

Kwangu mimi afadhali wapelekwe Hague sababu afrika tuna tabia ya kufagilia mvunguni kesi nyingi.

Someni Hapa
ama hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…