KENYA: Mjane wa Mwandishi wa Habari wa Pakistani, aliyeuawa na Polisi kulipwa Fidia ya Tsh. Milioni 208

KENYA: Mjane wa Mwandishi wa Habari wa Pakistani, aliyeuawa na Polisi kulipwa Fidia ya Tsh. Milioni 208

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Arshad Sharif alikuwa Mwandishi aliyejulikana kwa Ukosoaji mkali dhidi ya Viongozi wa Kijeshi wa Pakistani na ufisadi katika siasa hadi alipokimbili Kenya kutafuta hifadhi baada ya kupokea Vitisho.

Oktoba 2022 Arshad alipigwa Risasi na Polisi wa Kenya katika Maeneo ya Kajiado, ambapo Polisi walidai aliuawa kimakosa.

Mahakama Kuu ya Kajiado imeamua kuwa mamlaka za Kenya zilikiuka haki ya kuishi ya Sharif hivyo kuamuru Mkewe kulipwa fidia pamoja na riba hadi malipo kamili.

Akitoa hukumu katika Kesi ya Kuuawa kwa Arshad Sharif, Jaji Jaji Stella Mutuku alisema japokuwa hakuna kiwango cha Fedha kinachoweza kufidia uhai wala maumivu na mateso ambayo familia wamepitia, fidia ni tiba inayofaa kwa ukiukwaji wa haki za msingi.

Mahakama pia iliamua kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma na mamlaka ya Uangalizi wa Polisi walikiuka haki za Sharif kwa kushindwa kuwashtaki Polisi waliohusika, hivyo kuamuru Vyombo vyote Viwili kukamilisha Uchunguzi na kuwashtaki Polisi hao.

PIA SOMA
- Mjane wa mwanahabari wa Pakistan anaishtaki Serikali ya Kenya kwa mauaji ya mumewe
---

Payout for widow of Pakistani journalist killed by Kenyan police

A court in Kenya has awarded 10m shillings ($78,000; £61,000) in compensation to the widow of a prominent Pakistani journalist who was shot dead by police at a roadblock nearly two years ago.

Arshad Sharif was a TV anchor known for his robust criticism of Pakistan's powerful military leaders and corruption in politics.

The father-of-five received death threats that he flagged to Pakistan's top judge, before fleeing his home country to seek safety abroad.

Sharif's killing two months later at the hands of police in the Kenyan town of Kajiado caused outrage, and the slow response by officials prompted UN experts to criticise both Kenya and Pakistan.

Kenya's police had argued it was a case of mistaken identity but Sharif's widow, Javeria Siddique, said it was a contract killing carried out on behalf of an unnamed individual in Pakistan.

'A relief to me and my family'

On Monday, the Kajiado High Court rejected ruled that the Kenyan authorities had acted unlawfully and violated Sharif's right to life. It duly awarded Ms Siddique compensation plus interest until payment in full.

"Loss of life cannot be compensated in monetary terms nor is the pain and suffering the family must have gone through. But there's consensus that compensation is appropriate remedy for redress in violation of fundamental rights," said Justice Stella Mutuku as she delivered the verdict.

The judge also ruled that Kenya's director of public prosecutions and the independent policing oversight authority had violated Sharif's rights by failing to prosecute the two police officers involved. The court has ordered both bodies to conclude investigations and charge the officers.

Source: BBC
 
Kenya have independent policing oversighting authority that help to punish police who will practice against doctrine or who will misconduct, this helps to enforce police to abide with the general police orders,compared to Tanzania where a police is responsible to police a police which is totally ineffective.
 
Back
Top Bottom