Kenya mmekuwa omba omba kwa nchi mnayoiita masikini??!

Kenya mmekuwa omba omba kwa nchi mnayoiita masikini??!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
KENYA mnaomba MAHINDI wakati tuna NJAA..?!
KENYA mnaomba GESI wakati tuna LI-MGAO la umeme?!
KENYA mnaomba MT.KILI wakati tunawahitaji WATALII?!

MSISAHAU
Hata;
RWANDA wanaomba ARDHI kuhifadhi WAHAMIAJI,

Hata;
MALAWI wanaomba ZIWA lote liwe lao.

Tutawezaje yote haya na mnatuita masikini??!

Au ndio mnaendeleza uchochezi wa Kagame?

Ila poleni kwa yote.., tena msijali tutaanza kuwauzia umeme na gesi muda si mrefu.
 
Huu ni Zaidi ya Uzandiki unawauliza wakenye kwenye jukwaa hili? nenda kwenye jukwaa lao wakupe za uso.... Kwa mfano yako na maswali yako yamekaa kuzushi sana kwani hata marekani anatuita sisi ni masikini lakini Uranium yetu anataka.... Polisi wetu hatuwapendi kwa kutuomba omba rushwa lakini wanatulinda kila kitu kinategemea chengine .... Omba radhi mkuu na sidhanikama wakenya wanatuita sisi ni masikini... hebu tupe proof yako umeitolea wapi hii ya wakenya kutuita Watanzania ni Masikini na isiwe kwenye vijiwe vyako vya kahawa tu... Maneno mengine huleta usumbufu wa hapa na pale jichunge na hizi kauli za kichochezi hazitakiwi na serikali.... na pia wananchi wengine zinakera
 
sikuwa na nia mbaya.., ila nachukua ushauri.., NAOMBA RADHI KWA HILI..
 
THIS IS AN EXTRACT FROM STANDARD DIGITAL NEWS TITLED "TANZANIA WOULD RATHER BE IN SOUTHERN AFRICA, IT SEEMS". LINK IS: Standard Digital News - Kenya : Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems

PARDON ME IF THIS WAS WRONGLY INTERPRETED.

As if expelling Banyarwanda was not enough, Tanzania has been in focus the last few months for some decidedly anti-integrationist statements and actions.
When Dar is not slapping arbitrary charges on other East African Community citizens for daring to step onto its territory, it is behaving like a jealous regional sibling bent on making life as difficult as possible for everyone else.
When the Jomo Kenyatta International Airport caught fire recently, all regional airports chipped in to help with passenger traffic except, officials claim, for Tanzania’s airports, which were immediately closed to Kenyan traffic.
When Kenya had a big food shortage two years ago, Tanzania immediately banned maize sales to Kenya, citing its own food insecurity. A week later, Dar sold the maize to Uganda. And last year, Kenya expressed interest in buying any excess natural gas from Tanzania’s vast Songo Songo fields.

Dalliance
The Tanzanian response was curt: The gas is for domestic consumption only and is not for sale. This sounded like a good domestic policy until Tanzania went ahead and sold the gas to the Chinese.
The pattern that emerges is one of Tanzania walling itself away from the rest of the region, perhaps informed by its dalliance with the Southern African Development Community, a South-Africa-run group that rivals the East African Community, for Dar’s attentions.
Amusingly, Tanzania, like Kenya and the rest of the EAC, is desperately poor. In fact, slightly worse. One would have imagined that opening up its borders to investment and skills from across the region, like Kagame’s Rwanda has done, would be a no-brainer.
But when Kenyan tour agents began selling Mt Kilimanjaro trips to Europeans, who first sunbathe in Kenya before going to Tanzania, Tanzanians asked Kenyan tour agents to stop using photos of “its” Mt Kilimanjaro on their brochures!
 
sikuwa na nia mbaya.., ila nachukua ushauri.., NAOMBA RADHI KWA HILI..

Kwa nini unaomba msamaha? kwani wewe ndio uliwatuma kuandika waliyo yaandika kwenye magazeti yao? Unaomba msamaha wa nini! Mimi sioni kosa kwako. Wao wamtukane mwandishi wao na si wewe. Ninaona wamekosa adabu kukutukana wewe. Gazeti waandike wao na kukutukana wakutukane wao kwani wao ni miungu watu hata waogopwe? kama ni miungu ni miungu kwao huko kenya, na kama wanatishana watishane kwao huko. Na si kumtisha mtu wa TZ; Nikilejea habari ulioinakiri kutoka kwenye magazeti ya wakenya kama ifuatavyo hapa chini:

"Re: Kenya mmekuwa omba omba kwa nchi mnayoiita masikini??!
THIS IS AN EXTRACT FROM STANDARD DIGITAL NEWS TITLED "TANZANIA WOULD RATHER BE IN SOUTHERN AFRICA, IT SEEMS". LINK IS: Standard Digital News - Kenya : Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems

PARDON ME IF THIS WAS WRONGLY INTERPRETED.

As if expelling Banyarwanda was not enough, Tanzania has been in focus the last few months for some decidedly anti-integrationist statements and actions.
When Dar is not slapping arbitrary charges on other East African Community citizens for daring to step onto its territory, it is behaving like a jealous regional sibling bent on making life as difficult as possible for everyone else.
When the Jomo Kenyatta International Airport caught fire recently, all regional airports chipped in to help with passenger traffic except, officials claim, for Tanzania's airports, which were immediately closed to Kenyan traffic.
When Kenya had a big food shortage two years ago, Tanzania immediately banned maize sales to Kenya, citing its own food insecurity. A week later, Dar sold the maize to Uganda. And last year, Kenya expressed interest in buying any excess natural gas from Tanzania's vast Songo Songo fields.

Dalliance
The Tanzanian response was curt: The gas is for domestic consumption only and is not for sale. This sounded like a good domestic policy until Tanzania went ahead and sold the gas to the Chinese.
The pattern that emerges is one of Tanzania walling itself away from the rest of the region, perhaps informed by its dalliance with the Southern African Development Community, a South-Africa-run group that rivals the East African Community, for Dar's attentions.
Amusingly, Tanzania, like Kenya and the rest of the EAC, is desperately poor. In fact, slightly worse. One would have imagined that opening up its borders to investment and skills from across the region, like Kagame's Rwanda has done, would be a no-brainer.
But when Kenyan tour agents began selling Mt Kilimanjaro trips to Europeans, who first sunbathe in Kenya before going to Tanzania, Tanzanians asked Kenyan tour agents to stop using photos of "its" Mt Kilimanjaro on their brochures!"

Sijaliona kosa lako hapa.
Kuomba misamaha bira sababu kunawafanya wavimbe vichwa wakidhani wao wanajua sana. Na pengine wanaogopwa kumbe siyo. La msingi wamtafute huyo mkenya mwenzao aliyeandika hiyo mada gazetini na wamwambie aiombe radhi Tanzania na si kuleta ujeuli hapa ndani.
 
Andika yako ya kikubwa ambayo iko inje ya gazeti lao hili hapa:

"THIS IS AN EXTRACT FROM STANDARD DIGITAL NEWS TITLED "TANZANIA WOULD RATHER BE IN SOUTHERN AFRICA, IT SEEMS". LINK IS: Standard Digital News - Kenya : Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems

PARDON ME IF THIS WAS WRONGLY INTERPRETED.

As if expelling Banyarwanda was not enough, Tanzania has been in focus the last few months for some decidedly anti-integrationist statements and actions.
When Dar is not slapping arbitrary charges on other East African Community citizens for daring to step onto its territory, it is behaving like a jealous regional sibling bent on making life as difficult as possible for everyone else.
When the Jomo Kenyatta International Airport caught fire recently, all regional airports chipped in to help with passenger traffic except, officials claim, for Tanzania’s airports, which were immediately closed to Kenyan traffic.
When Kenya had a big food shortage two years ago, Tanzania immediately banned maize sales to Kenya, citing its own food insecurity. A week later, Dar sold the maize to Uganda. And last year, Kenya expressed interest in buying any excess natural gas from Tanzania’s vast Songo Songo fields.

Dalliance
The Tanzanian response was curt: The gas is for domestic consumption only and is not for sale. This sounded like a good domestic policy until Tanzania went ahead and sold the gas to the Chinese.
The pattern that emerges is one of Tanzania walling itself away from the rest of the region, perhaps informed by its dalliance with the Southern African Development Community, a South-Africa-run group that rivals the East African Community, for Dar’s attentions.
Amusingly, Tanzania, like Kenya and the rest of the EAC, is desperately poor. In fact, slightly worse. One would have imagined that opening up its borders to investment and skills from across the region, like Kagame’s Rwanda has done, would be a no-brainer.
But when Kenyan tour agents began selling Mt Kilimanjaro trips to Europeans, who first sunbathe in Kenya before going to Tanzania, Tanzanians asked Kenyan tour agents to stop using photos of “its” Mt Kilimanjaro on their brochures!"

Kama umesoma hiyo taarifa nadhani utaacha kuonea watu na kutoa maneno ya matusi.
 
MUUNGWANA NI VITENDO........nimefurahi ulivyowaomba radhi, ila wenye macho tumeona nani alipaswa kuomba radhi.......
hata rais wetu alifanya kile ambacho wewe umefanya, big up great thinker
 
sikuwa na nia mbaya.., ila nachukua ushauri.., NAOMBA RADHI KWA HILI..

Wewe una matatizo gani ndugu? Yaani ka-challenge kamoja tu kwenye thread yako unaomba radhi? Huamini hoja zako au huamini uwezo wako wa kuchambua mambo? APOLOGY NOT ACCEPTED. Haya neda katetee hoja yako vizuri siyo kutulete mambo ya msamaha hapa.
 
In matters of begging, kuna mtu anazungusha bakuli ulimwengu huu kama Jakaya mrisho kikwete? Umesahau alienda akaomba mpaka ma yebo yebo nadhania uchina. Dont throw stones if you living in a glass house. Na usisahau, kuna tafauti ya kuomba na kununua, sidhani tanzania inaweza kupatia Kenya mahindi ama gesi bure, its a willing buyer willing seller situation.
 
Kuna nyan'gau mwana mfalme mmoja anakesi ICC........ HIVI ANAITWA NANI ?
 
Francis da don ameomba radhi kisomi na kidiplomasia. Kumbuka namna Jk alivyoiweka ile hotuba yake ya mwezi kuhusu Rwanda. Wajinga wa Rwanda wakadhani kuwa JK alikuwa mwoga kumbe wasijue kuwa alikuwa diplomatic lakini moyoni akiwa anajua anafanya nini. Someni kitabu kile cha zamani kiitwacho the Godfather. Mtu anatukanwa au mtoto wake anauawa lakini haonyeshi hasira wala chuki lakini kumbe moyoni ameandaa maafa kwa wapinzani wake.
 
In matters of begging, kuna mtu anazungusha bakuli ulimwengu huu kama Jakaya mrisho kikwete? Umesahau alienda akaomba mpaka ma yebo yebo nadhania uchina. Dont throw stones if you living in a glass house. Na usisahau, kuna tafauti ya kuomba na kununua, sidhani tanzania inaweza kupatia Kenya mahindi ama gesi bure, its a willing buyer willing seller situation.

Uko sahihi ndugu. Ila tunachotofautiana kati ya sisi na nyie ni kiwango tu cha ombaomba na ni vyema kama waafrika tukakerwa na hili tatizo sugu la viongozi wetu kuzunguka wakiomba vijipesa vidogo wakati huohuo wanawaruhusu hao waombwaji waje kuchukua maliasili za mabilioni ya dola.
 
Hizi CHOKOCHOKO kenya mlianza muda mrefu.., HAYA sasa tunajitoa EAC. Na nyinyi mrudi kwenu. KIMBUNGA part2 ianze tafadhali..!
 
KENYA mnaomba MAHINDI wakati tuna NJAA..?!
KENYA mnaomba GESI wakati tuna LI-MGAO la umeme?!
KENYA mnaomba MT.KILI wakati tunawahitaji WATALII?!

MSISAHAU
Hata;
RWANDA wanaomba ARDHI kuhifadhi WAHAMIAJI,

Hata;
MALAWI wanaomba ZIWA lote liwe lao.

Tutawezaje yote haya na mnatuita masikini??!

Au ndio mnaendeleza uchochezi wa Kagame?

Ila poleni kwa yote.., tena msijali tutaanza kuwauzia umeme na gesi muda si mrefu.

This is a very lame view. utajiri tanzania unaozungumzia ni ukubwa wa ardhi kama rasilimali na kumiliki bandari, ikilinganishwa na mataifa mengine kama rwanda na burundi.
 
kwa hiyo ulitaka nizungumzie utajiri gani.., wakinyang'au au..?
 
Sikujua Wakenya na Watanzania ni mahasidi hadi nilipojiunga na Jamii forums ndiyo nimeyaona. Jameni mzozo huu utazidi kuturudisha nyuma tuu, sisi vizazi vya sasa tuliosoma kuwaliko mababu zetu ndio suluhisho. Hamna nchi haina umaskini, iwe kwetu Kenya ama Tanzania. Kenya sasa inaelekea kukumbwa na janga la njaa kwa mujibu wa taarifa za habari. Ingekuwa Tanzania hamna umaskini basi hatungekuwa na ripoti za Watanzania wanaokamakwa bararani Kenya wakiombaomba kama hizi habari hapa chini

Mombasa - Thirteen Tanzanian beggars have been arrested at the Mwembe Tayari market in Mombasa for being in the country illegally and causing havoc in town.

It has been established that the arrested were brought into the country by another man who has been benefiting from their daily collections. Most of the beggars in Mombasa are employed by private entrepreneurs for profit.

Seven of those arrested are disabled and can only walk on fours and are said to be the main collectors while the other six provide security for the beggars in case looters show up.

It is said that the beggars were being dropped off every morning by a vehicle (Pickup truck) and then collected in the evening by a man they were afraid of mentioning by name and whom they preferred to refer to as 'boss'.

The 13 had been charged Wednesday by the County court of Mombasa before honorable Justice Abraham Gachie for being in the country illegally and causing nuisance around the area, but the immigration offices of Mombasa applied for the case to be handed over to them.

Speaking to the media in her offices, the Mombasa County court prosecutor, Caroline Masai, said that the county court is barred from issuing rulings beyond the county by-laws and that the accused were entitled to community work of up to two days or a fine of at most KES 2 000 each before being deported back to their country.

“We as a County court are afraid that the accused might freely return to the streets of Mombasa after they complete the community work and for that, we have opted to let the office of immigration handle the case as it has mandate to forward it to the court for the Kenyan laws to be applied sufficiently,” County court prosecutor said.

The prosecutor said that the six able migrants are to be charged of being unlawfully in the country, causing nuisance by being beneficiaries of money collected by beggars and human trafficking, while the disabled are to face charges of causing nuisance by begging within the Mombasa CBD and being illegally in the country.

The police in collaboration with the County askaris are conducting an investigation to identify the beggars' 'boss'.

Illegal immigrants arrested begging in Mombasa | News24 Kenya
 
Back
Top Bottom