Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)

2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.

3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na kuaminiana.
 
Ukabila ,,,ss hapo watamweka nani ambaye c mkabila wa Kenya awe raisi wao ....

Tanzania cc tunamalizwa na CCM au cyo
 
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu Ni wale wale hamna tofauti na TZ tuna CCM toka 1961 (TANU kisha CCM) Hadi leo.

2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.

3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na kuaminiana.
Kwa hiyo sisi tuna nini cha maana kuwazidi hao wakenya?? Labda tumewazidi uwoga tu
Ukiwa kiongozi Tanzania ni mfano wa maisha ya peponi
 
Sisi ndio tunamengi ya kujifunza kutoka kenya
Moja ujasiri na uzalendo kwa nchi yetu dhidi ya watu wasiowaadilifu
 
madeni ndo sababu ya Kenya kuwa hivyo.

jamii forum wanazuia ukweli. pathetic place
 
Hivi wewe kama mtanzania kabisa unajiona unalo la kumfundisha mkenya?

Anyway, labda tuwafundishe maujinga yetu.
 
Tanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Actually Kenya wajinga zaidi

Sasa hivi mnaandamana for odinga, ruto, or uhuru?

It’s the trio that shakes you every year

Wapuuzi mno
 
Tanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao

Watu wenye elimu na wanao jielewa wana ustaarabu... Sio hao kenge unaotaka kuwasemea hapa waliojaa ubinafsi na ukabila
 
Back
Top Bottom