Utajifunza nn toka Kenya?Tanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Kwa hiyo sisi tuna nini cha maana kuwazidi hao wakenya?? Labda tumewazidi uwoga tu1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu Ni wale wale hamna tofauti na TZ tuna CCM toka 1961 (TANU kisha CCM) Hadi leo.
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.
3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na kuaminiana.
Wamweke 'baba' Odinga au sio?😎Ukabila ,,,ss hapo watamweka nani ambaye c mkabila wa Kenya awe raisi wao ....
Tanzania cc tunamalizwa na CCM au cyo
Hata wewe ni mjinga tu.Leo narudia kusema mara ya mwisho
"HAKUNA NCHI YENYE VIJANA WAJINGA KAMA TANZANIA"
Actually Kenya wajinga zaidiTanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Kubwa sanaHivi wewe kama mtanzania kabisa unajiona unalo la kumfundisha mkenya?
Anyway, labda tuwafundishe maujinga yetu.
Tanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Inaonekana unawaabudu sana wakenya😎Hivi wewe kama mtanzania kabisa unajiona unalo la kumfundisha mkenya?
Anyway, labda tuwafundishe maujinga yetu.
Kenya ni mafia stateWatu wenye elimu na wanao jielewa wana ustaarabu... Sio hao kenge unaotaka kuwasemea hapa waliojaa ubinafsi na ukabila
Mazombi