Kenya Monopolizing East Africa



WaMzizima:

Hivi kuna mkuu anakataa vitegauchumi kutoka nje? Hata shareholding zao hazituhusu pia. Mmachinga kama Smatta anataka kudanganya kuwa hisa za makampuni yote ya wakenya ni za Wakenya yaani wakikuyu, wapokot na wajaluo..hii si kweli na hata ikiwa it's none of our business, ila aache uongo na arrogance. Ikitokea kampuni ikawa ya mkenya ni wale wanasiasa kina Biwot ambao waliwaibia wakenya wenzao, sasa unadhani ni wakenya wangapi wameathirika na wizi huo, ambao mpaka ni maskini choka mbaya. Unemployment rate ya Kenya iko at 40%, hivi hao kweli ni watu wa kujifunza kwao!?
Ukimwambia aende TIC huyo hawezi, ni kuuza bidhaa feki tu. Iwapo sheria za nchi zinafuatwa, yaani ajira kwa mgeni mwiko hasa kwa zile kazi zinazoweza kufanywa na mtanzania, mbona sioni tatizo! Kina Smatta wanachotaka ni free movt of labor, free land kwa wakulima wa jembe (kukimbia ukame), na kutembea na vipande vyao Tanzania..kitu a ambacho wameula wa chuya! I am for free movt of capital myself ili mradi walipe kodi na wasilete vinarua wao kuganga njaa!
 

Mimi nipo humu ndani ya Forum kuwaondoa woga Watanzania wenzangu kuwa ati hawawezi Tanzania can do better without Kenyans! Mark my words! Kenyans all they know is to brag ati wako aggresive ati wako that and this while Kibaki buddies (Kikuyus) are bankcrupting that country, what do you get in turn? kama ungekuwa that smart as a country the way you claim usingekuwa na Goldenberg scandal with Pattini and the co swindling all the money or your Kwale titanium deposit wouldn't be benefiting the few! Uache mudomo mingi for people who know Kenyans like me hamnisumbui nawajua in and out! you are always good at bragging ati you are better than this and that! that's the only thing you know
 

...mikelele tuu ya debe tupu,FYI EA ipo tayari na capital & labour movement are moving as we speak (legally) na hakuna kitu utafanya umebaki bashing kwa wakenya tuu na kuwaita wengine wauaji,acha kusingizia wamachinga kwa matatizo yako hao wamejaa kila kona ya dunia from NY to Beijing wanatafuta maisha tuu,then your sorry ass unafikiri you will convince other ****** like you kuwakimbiza Wakenya mtaani kwa sababu wanachukua kazi zenu(in your fantasy World) go ahead with your stupidity maana jela bado zina nafasi ya watu kama wewe,seems you re poor,bitter,loser & uneducated la sivyo usingekuwa na hiyo animosity towards other people
 

Huwa tunawaita watu kama hao internet soldiers, calling the shots from behind their monitors while in real life they are sissy's.
 
Bro Kanyabwoya, huyo Koba muache alivyo, maana tangu ahamie California kabadilika kabisa hata usabato kaacha.
Na anawashabikia wakenya kwa sababu ni ndugu zake wanapkana huko mkoa Mara.

Halafu sio mtu wa kawaida, maana tangu nizaliwe sijawahi ona mswahili akitetea ushoga (ufiraji) kama huyu Koba alivyo.

Kumbe Marekani si kwa kupeleka watoto. Namfahamu sana Koba nimesoma nae ila yeye aliacha shule katikati na kukimbilia marekani.
 
Wakimbizi wana shida sana, I mean very lucky to have my dignity maana kama huna nchi unakuwa huna dignity unawewesekaweseka tu. Poleni sana midhali tunawafahamu hivi sasa huruma yetu kwishnei.
 
So what? wakijaza then what? china products, india products, SA product? this free market?
 

...you must be outta you're fu-ckin-g mind!
 
i quote "I am told that these Kenyan's have no big interest in Burundi!! Why? They also talk of un-lucrative Tanzanian Market which its systems are not open business friendly" you say kenyan banks are strugling i will have you know that their target market is not the common Tanzanian who just needs an ATM machine to withdraw his salary but NGOs, multi national companys, shools and the likes ie those who handle the big bucks so, dont think that since theres no ques then they are strugling! yes theres alot of south african products but i would like to inform you that kenya is tanzania's second biggest investor after south africa. whats worst is that even though some goods are made in and proudly written made in tanzania doesnt mean the owners are tanzanians they could as well be kenyans. iliniuma sana nilivyo gundua kwamba kenya airways has 49% stake in precision airways we are so proud of and the main competitor fly 540 is fully kenyan in collaboration with some UK investors!
 
Acheni uongo, it is south african's products which have flooded East African market. In Tanzania , banks from Kenya are really struggling.

i quote "I am told that these Kenyan's have no big interest in Burundi!! Why? They also talk of un-lucrative Tanzanian Market which its systems are not open business friendly" you say kenyan banks are strugling i will have you know that their target market is not the common Tanzanian who just needs an ATM machine to withdraw his salary but NGOs, multi national companys, shools and the likes ie those who handle the big bucks so, dont think that since theres no ques then they are strugling! yes theres alot of south african products but i would like to inform you that kenya is tanzania's second biggest investor after south africa. whats worst is that even though some goods are made in and proudly written made in tanzania doesnt mean the owners are tanzanians they could as well be kenyans. iliniuma sana nilivyo gundua kwamba kenya airways has 49% stake in precision airways we are so proud of and the main competitor fly 540 is fully kenyan in collaboration with some UK investors!
 

i will give you an example of safaricom which is africas 9th biggest telecom company in africa with only 12 million subscribers and revenues of 1.4 billion dollars (tsh. 1,950,000,000,000) for year 2011. which is not bad for a 60% owned by gvt of kenya
Top Ten largest telecoms companies in Africa
compared to m.t.n who tops the list with 176 million subscribers and egypts and nigeria with 48 million subscribers.
do i need to talk about kenya airways? Topling ethiopian airlines to be AFRICA'S third finest airline after southafrica and egypt airlines the gvt of kenya is the single biggest stake holder at 30% followed by KlM 22%.
labda siko well informed... si tuna nini, wapi?
 

how about some enlightment instead of persimist talk, cz all i see is this country developing way beyond our league right under our nose!!
 

i wish we would get our facts straight before running our mouths, cz it makes us look desperate. i too hate how kenyans brag but i wount deny facts that we cant play their league anymore!
just would like to ppoint afew points there for you Top Ten largest telecoms companies in Africa will tell you that the government and people of kenya calls the shots on africas 9th biggest telecomunication company which had a turnover of tsh 2,100,000,000,000 for 2011!. with a 60% stake thats alot of money, so whoever told you britons run the show, cant happen! vodafone came into the picture in 1997 when safaricom was one of the fastest growing mobile operators in africa and was 100% owned by the gvt of kenya at that time.
the gvt of kenya today still remains the single biggest stake holder and manager in KQ with 29.8%. followed by KLM at 26% shares. so bra KLM can never call the shots with only 26% shares
Definately east and central africa's biggest chain stores, nakumatt with assets to the tune of Tsh 1 trillion has branches in moshi tz, kigali rwanda, kampala uganda and south sudan is 100% owned by kenyan family Atul Shah family and hotnet limited Nakumatt - Wikipedia, the free encyclopedia those are some of the prosperous businesses they can brag and we cant!
 

what i see.... those are just isolated incidences.... lot of coys still under whites and few blacks.... that is a fact... for more.... check with geza... will lift the veil and watch....
 
Hapa naona tunaendekeza sana nationalism wether ni wa Kenya au Tz, kwangu mimi naona ownership not an issue hata US, UK au mfano mzuri in modern times in China foreign co. ndizo zinaongoza kwa kutoa employment especially China...serikali yao ilitambua kuwa wao hawana uwezo (kama sisi) kutoa ajira kwa watu wao wote na SU zao zilikuwa na bado zipo inefficient kulinganisha na makampuni ya nje.
Solution tukaribishe makampuni ya nje yalete ajira kwa vijana wetu na kuhakikisha yanalipa kodi ambayo ni fare kwa wote, that all I care sijali nani anamiliki nini as long as watu wetu wana ajira na uchumi wetu unakua badala ya longolongo ndefu, after all experience yetu ya kuendesha makampuni yetu ya SU is pathetic if it is anything to go by...
 
SO what?? we own 1% they own 99% , why havent you stopped and ask your selves why these companies didnt invest in Tanzania?? why??? seems you have not been doing your homework on us jus,t yip yappin' with no facts at hand. just watch this pace, we're takin' over for sure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…