Because whatever Kenya innovates Tanzania also adopts!
Ingawaje siamini hilo lkn hata kama ni kweli kuna ubaya gani kwenye hilo? Au ulitaka TZ yetu tu adopt Kibera?
Siku mtaacha kutumia Kenya kama kipimio chenu ndio mtafaulu kuondoka nje ya ramani za ushithole
Siku mtaacha kutumia Kenya kama kipimio chenu ndio mtafaulu kuondoka nje ya ramani za ushithole
hatuna cha kujifunza toka kwa sold country. ahaaa haaa haaa tuna nchi ambazo tunaziwazia usiku na mchana kama tunaweza kuzifikia japo HATA nusu.
Tatizo mnawaza Kenya kila siku, Kenya hiki Kenya kile. Tutaipita Kenya ndio kauli mbiu ya kila Mtanzania, mtachoka sana kwa kweli maana siri ya kuipita Kenya ipo kwenye uchapa kazi wa kweli bila maigizo na kuwacha mdebwedo, kitu ambacho ni mwiko kwa Mtanzania.
Kenya Open Golf – Kenya Open GolfNjaa inanisumbuaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona inawauma sana kwamba hatuko food secure. Hii sio shida ya Tanzania. Nadhani hio ni shida yetu kama Kenya. Sikujua mnatupenda kiasi hiki ndio maana hamtaki tufe njaa. Asanteni ndugu zetu kwa kutujaliHizo innovations zinatakiwa muzi concentrate kwenye kuwa na food security other than mere proud ideas
Innovation zenu watz mmezitumia kufanya nini cha maana? Au ndo yale ya kupimana mkojo?Hizo innovations zinatakiwa muzi concentrate kwenye kuwa na food security other than mere proud ideas