Kenya: Mwanafunzi afia kwa mwendesha Bodaboda waliyekutana Facebook

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.

Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.

“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu...... Hatari sana
 
Huyo mwanafunzi atakuwa kapigwa miti ya kiwango cha SGR kutoka kwa bodaboda mwenye ugwadu mkubwa halafu katumia ile mizizi wakikuyu hupenda kuitumia.
 
Mwanafunzi wa SUA nahisi mazingira yanafanana.. wacha Jeshi la police lifanye kazi yake.
JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.

Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.

“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.

Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.

“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hazina spidi gavana, mtoto kashindwa kuhimili kasi ya mwendesha bodaboda.
 
Inauma sana, hivi vitoto hata uvikanye vipi haviskii, halafu majirani wapumbavu waliona mwanafunzi wa kike anaingia kwa nyumba ya njemba na hakuna aliyehoji au kuhusisha utawala.
Kama mzazi inaniuma sana, nawaza hapa wazazi wa huyo binti huko waliko yaani......jamaa afungwe jela hadi aozee huko.
 
Back
Top Bottom