Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Mademu...... Hatari sanaJESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.
Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.
“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.
Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.
“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanafunzi atakuwa kapigwa miti ya kiwango cha SGR kutoka kwa bodaboda mwenye ugwadu mkubwa halafu katumia ile mizizi wakikuyu hupenda kuitumia.
Tatizo hazina spidi gavana, mtoto kashindwa kuhimili kasi ya mwendesha bodaboda.JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Thaara ambaye walikutana nae Facebook.
Polisi wanasema wawili hao walikutana Facebook na kuanzisha urafiki na Mwanafunzi akasafiri kutoka Kijiji cha Kamahuha na akamfuata Mwanaume nyumbani kwake eneo la Gaturi ambako umauti umemkutia.
“Mwili utafanyiwa uchunguzi kujua kilichopelekea kifo cha mwanafunzi huyo, na tayari tunaendelea kuwahoji Majirani ambao wamekiri kumuona Mwanafunzi akiingia ndani kwa Bodaboda huyo,” imesema Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchunguzi unaendelea....!!!Huyo mwanafunzi atakuwa kapigwa miti ya kiwango cha SGR kutoka kwa bodaboda mwenye ugwadu mkubwa halafu katumia ile mizizi wakikuyu hupenda kuitumia.