Kenya: Mwanamke amfuma baba yake akifanya mapenzi na mumewe

Kenya: Mwanamke amfuma baba yake akifanya mapenzi na mumewe

drugtest

Senior Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
148
Reaction score
211

Mwanamke mmoja jijini Nairobi amefunguka redion baada ya kumfuma baba yake mzazi wa kumzaaa akifanya mapenzi na mume wake ambaye tayari ana ujauzito wake. hii inasikitisha sana jaman khaa.
 
Sasa kwanini hawakufunguka dirisha na pazia. [emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Kweli mwisho wa dunia umefika Mungu atanisamehe nitavunja ndoa tu aendelee na baba mkwe wake na ubaba pia utaisha
 
Haha sasa kati ya baba yake mzazi na mumewe nani aliyekuwa anamkula mwenzake
 
Haya mambo yalikuwepo tokea enzi na enzi. Ni kawaida tu, tatizo linakuja unapogundua mambo haya kwa watu usiowadhania
 
Duuuhhh nani sasa alikuwa anapumuliwa??baba au mume??!!!duuhh km babaake ndo kachora 7 ndio balaa zaidi
hahahaa. hapo hakuna nafuu mkuu"" mume ikiwa kachorwa 7 au baba "" wote nimaumivu
 
Back
Top Bottom