Kenya :Mwanamume adaiwa kuwa na tabia za nyoka, baada ya kuua nyoka.

Kenya :Mwanamume adaiwa kuwa na tabia za nyoka, baada ya kuua nyoka.

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
View attachment 370339
James Kahara Ndung'u, kutoka eneo la Murang'a nchini kenya alimuua nyoka aina ya cobra barabarani na kutokea hapo amekuwa akijutia tukio hilo kutokana na masaibu yanayomkumba.

Anasema kwamba yeye huwaona paka wengi na vilevile kuteleza chini na kuanza kutambaa, kando na kutoa kama ile ya nyoka (hisses).

Familia yake inaomba usaidizi wa maombi kutoka kwa wahubiri wa injili ili James Kahara arejee hali yake ya kawaida.

Source:Citizen Digital.
 
Pole sana.. Vitu vingine ni mapepo na mambo ya kishetani.. Sasa was was wangu kama angemuua kicheche cjui hao dada zao hapo mtaan wangeishije
 
Back
Top Bottom