Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mwanasiasa wa Upinzani na Wakili mzaliwa wa Kenya Miguna Miguna ambaye alilazimishwa kwenda uhamishoni nchini Canada mwezi Februari mwaka huu, anatarajiwa kuwasili nchini Kenya leo Machi 26, 2018, huku kukiwa na wasiwasi kwamba huenda asiruhusiwe na Serikali ya Kenya kuingia nchini.
Katika taarifa aliyoituma kwa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika siku ya Jumapili akiwa mjini London Uingereza, Miguna Miguna alisema kuwa ataingia Kenya bila pasipoti au viza kumruhusu kufanya hivyo.
"Ndege yetu itatua Nairobi Jumatatu (leo) saa nane na dakika kumi na tano alasiri", alisema Miguna.
Wakati wa kuchapisha ripoti hii, Serikali ya Kenya haikuwa imetekeleza maagizo ya mahakama kuu, kuitaka imrejeshee hati yake ya kusafiria.
Miguna ambaye amejitangaza kuwa kiongozi wa vuguvugu la National Resistance Movement NRM, amekuwa akiishi uhamishoni tangu maafisa wa polisi walipomlazimisha kuabiri ndege katika uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi mapema mwezi Februari, kwa madai kwamba yeye si raia wa Kenya.
UPDATES:
Self-styled National Resistance Movement Kenya (NRM-K) General Miguna Miguna has arrived back into the country after a seven-week-long hiatus following his deportation to Canada.
Confirming the arrival of Miguna, his lawyer Cliff Ombeta said the firebrand political activist had been asked to surrender his Canadian passport at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), to which they declined.
Miguna is currently being held at the airport’s immigration offices over issues concerning his passport.
The lawyer-cum-politician was deported to Canada on Tuesday, February 6, days after he was arrested over the controversial swearing in of Raila Odinga as the ‘People’s President.
Miguna’s return comes exactly a month after the High Court in Nairobi directed the government to issue him with a travel document to enable him re-entry into Kenya pending the hearing and determination of a case he filed challenging his deportation.
Justice Chacha Mwita on February 26 ruled that should the government fail to issue Miguna with a travel document, then the self-declared NRM general should be at liberty to use his Canadian passport to regain entry into Kenya.