Kenya: Mzee wa miaka 78 arejea kwa mkewe baada ya miaka 26

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Edward Mwangi aliondoka nyumbani kwake miaka 26 iliyopita baada ya kuzozana na mkewe, alikaa Nairobi kabla ya kwenda Nakuru ambako alikuwa akifanya kazi mashambani.

Aliondoka na redio na akarudi na redio ile ile. Edward Mwangi kutoka Gikangu kaunti ya Murang’a

Aliamua kwenda kutafuta ajira baada ya kuona kuwa ndoa yake haiendi sawa. Kwanza alifikia Nairobi alifanya kazi kwa miaka mitatu kabla ya kupewa kazi ya shamba Nakuru. Anasema alikuwa na mahusiano mazuri na mkewe kabla ya kuamua kwenda kutafuta kazi kama wanaume wengine wanavyofanya.

Tarehe 6 mwezi wa pili ndipo aliporudi nyumbani baada ya kupata msaaada kwa rafiki yake Weruweru Kamau alimasaidia kwa kutafuta wa kumchangia pesa kwa ajili ya usafiri ili ande kwake.

Mzee huyo alimkumbuka rafiki yake mmoja tu ambye pia ni jirani yake bwana David Kirika ambaye alikuwa anafanya biashara huko Murang’a.

Mwangi aliondoka nyumbani bila kusema kama atarudi na nduguze walimtafuta bila mafanikio kwa miaka yote hiyo , amefika kwa wajukuu zake ambao nao walimtafuta kwa muda mrefu

Kwa mujibu wa Weruweru, mtu ambaye amemsaidia alisema, Mwangi alikuwa akiizungumzia familia yake lakini hakuwa anakumbuka kuhusu nyumbani kwake

Chanzo: TUKO
 
Kuna muda mambo yakiwa magumu unasepa tu. Yakikuwia vigumu huko ulikosepea unarudi tena. Maana hamna namna....
 
Da kuna mzee hapa kama namfananisha naye anasema familia yake iko Uganda toka ametua hapa Tz ni miaka mingi sana toka 1954 hivi hakumbuki hata alipokuwa anaishi na anamtaja mtoto wake mmoja tu na mke ila anasema aliacha watoto 4. Na huku amenogewa analima na ana umri mkubwa ila usimwambie umezeka atakutoa roho mchana kweupe
 
Back
Top Bottom