Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Edward Mwangi aliondoka nyumbani kwake miaka 26 iliyopita baada ya kuzozana na mkewe, alikaa Nairobi kabla ya kwenda Nakuru ambako alikuwa akifanya kazi mashambani.
Aliondoka na redio na akarudi na redio ile ile. Edward Mwangi kutoka Gikangu kaunti ya Murang’a
Aliamua kwenda kutafuta ajira baada ya kuona kuwa ndoa yake haiendi sawa. Kwanza alifikia Nairobi alifanya kazi kwa miaka mitatu kabla ya kupewa kazi ya shamba Nakuru. Anasema alikuwa na mahusiano mazuri na mkewe kabla ya kuamua kwenda kutafuta kazi kama wanaume wengine wanavyofanya.
Tarehe 6 mwezi wa pili ndipo aliporudi nyumbani baada ya kupata msaaada kwa rafiki yake Weruweru Kamau alimasaidia kwa kutafuta wa kumchangia pesa kwa ajili ya usafiri ili ande kwake.
Mzee huyo alimkumbuka rafiki yake mmoja tu ambye pia ni jirani yake bwana David Kirika ambaye alikuwa anafanya biashara huko Murang’a.
Mwangi aliondoka nyumbani bila kusema kama atarudi na nduguze walimtafuta bila mafanikio kwa miaka yote hiyo , amefika kwa wajukuu zake ambao nao walimtafuta kwa muda mrefu
Kwa mujibu wa Weruweru, mtu ambaye amemsaidia alisema, Mwangi alikuwa akiizungumzia familia yake lakini hakuwa anakumbuka kuhusu nyumbani kwake
Chanzo: TUKO