SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Umeandika lugha gani hii?MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.
HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??
HAdi raha
Hiyo inaitwa Splash BusMMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.
HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??
HAdi raha
Hilo bus labda wameagiza toka GermanyMMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.
HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??
HAdi raha
KenyaaaHiyo inaitwa Splash Bus
Sio Kenya
Stop lying people
Sasa kwanini sisi tusiagize
NampangooHamia huko
Mlionaje na nimetumaTulione pls
ZInunuliwe hapa ili kwenye mafuriko ziweze kupitaBasi hizi zipo kitambo hasa huko mashariki ya mbali, basi hizi hutembea barabarani na kwenye maji. Enzi za Castro wakyuba wengi walimodifai gari zao ziweze kutembea baharini ili watoroke nchi ya Kyuba na walifanikiwa.
Ngoja mechi za mpira ziishe kwani magoli yanahitaji hela.ZInunuliwe hapa ili kwenye mafuriko ziweze kupita
Safi sanaMlionaje na nimetuma
Hiyo ni kwa ajili ya utalii, sisi tunaahitaji kivuko, sio basi la utaliiSasa kwanini sisi tusiagize
Ni kivukoHiyo ni kwa ajili ya utalii, sisi tunaahitaji kivuko, sio basi la utalii