Kenya na Rwanda watia saini mkataba wa EPA - yaani mbele kwa mbele

Hapa KASI tu. Acha wengine waendelee kujivutavuta,kujikongoja wakijinadi eti TUTA..... TUTA.....Sisi TUNA........
 
mimi nili dhania mwendo ni bampa kwa bampa, tukitoa wanaweka. ...

Hawana utundu huo, uwezo wa kwenda nasi bampa to bampa hawana, inataka watu wenye kasi na sio hawa waswahili wenye vijimaneno mengi halafu matendo zero.
 
Hawana utundu huo, uwezo wa kwenda nasi bampa to bampa hawana, inataka watu wenye kasi na sio hawa waswahili wenye vijimaneno mengi halafu matendo zero.

Umegonga ndipo. Rwanda wangesema wanatufuata bumper-to-bumper, tungeamini. Lakini sio TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…