Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

wangekuwa na mademu wazuri tungehofia wana kurowea,but doh hatuna wasi wasi vijana wata uturn kabla ya 14days.
mademu wa kikenya miili yao migumu sura zinatisha yaani unaweza sema ni mwanaume kabisa hata kutembea havijui basi tu ingawa kuna wachache ndio wazuri yaani kati ya 100% 0.1% ndio wazuri na hao wana mchanganyiko na nchi zingine..
 
Tanzania hatutowapima, tutapima joto la mwili pekee na kuwapa vyetu, na hamtoruhusiwa kuwagusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hao madereva wetu tutawapima joto la mwili pekee na kuwapa "certificates". Kenya mtakazimika kuzikibali na kuwaruhusu kupita, hampaswi kuwapima tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kuficha taarifa,hili ni janga kwa taratibu za who inabidi utangaze ili watu wachukue tahadhari,pia ukizidiwa ili uweze kusaidiwa
 
Tanzania hatutowapima, tutapima joto la mwili pekee na kuwapa vyetu, na hamtoruhusiwa kuwagusa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma taarifa vizuri, zinasema tutafanya kitu kinaitwa random tests hata baada ya wao kuvuka mpaka, unashtukizwa na kupimwa maana tunajua ukajanja wenu, hapa ni mwendo wa kulinda Wakenya kwa namna yote. Sisi haja yetu sio kutangaza mna UKIMWI, kaswende au corona, kipau mbele chetu ni kulinda Wakenya.

Ukipimwa na kukutwa wewe ni zombi, unarejeshwa kwenu kimya kimya na kwa kuzingatia huo usiri mnaoupenda, mpumuliane huko na kuambukizana mpaka mtie akili.
 
Sasa ninyi Kenya kwa nini mmekubali ushauri wa kijanga wa Mobutu Sese Seko Kuku?

Kipau mbele chetu ni afya na usalama wa Wakenya, nchi yenu imesema waathirika wenu wafanywe siri, sasa ilmradi hawaruhusiwi kuambukiza ndani ya Kenya, tutawageuza kimya kimya mkapambane huko huko wenyewe.
 
Hahah aisee, waambie Corona party ni kesho.
 
Sema Kenya ndio wamekubal mashart waliopewa na TANZANIA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipau mbele chetu ni afya na usalama wa Wakenya, nchi yenu imesema waathirika wenu wafanywe siri, sasa ilmradi hawaruhusiwi kuambukiza ndani ya Kenya, tutawageuza kimya kimya mkapambane huko huko wenyewe.
Tutaelewana tu kidogo kidogo. Mmefika 1,160 sasa. Sisi huku tuna dawa nne hadi sasa.

1. Ya Madagascar, tumeiboresha
2. Ya NIMRI
3. Ya komando Mashimo
4. Nyungu zilizoboreshwa
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…