Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

https://www.facebook.com/
Kuna point huyu jamaa akatoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa alikua mwanadiplomasia.....
Mwisho wa siku mapato wanayopata kwa kuuza malighafi Kenya yakipungua wataanza kulaumiana humo ndani wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hivyo lazima kwa namna moja au nyingine tuhusiane.

Cha msing tuhakikishiane kila mmoja na maslahi yake
- Sisi ili kuhakikisha hawatuambukizi kirusi, lazima tupime kila dereva wao
- Lakini ili kuwahakikishia usiri wao, hatutatangaza tuliyemgundua na kirusi ni raia wa wapi.
 
Ndio hamtaweza kumpima Mtanzaia mpaka atake mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kiswahil sio lugha yako ndio maana wewe tu haujaelewa hiyo kauli haijatolewa ila kwakua kiswahili ni chetu bc yale makubaliano tu tunajua nini kimelengwa tofauti na wewe uliekaa darasani kujifunza lazima isielewe, hivi jiulize Kama kila Nchi inapima watu wake wanapewa vyeti na hiko cheti ndio kithibitisho mpakani na kinaisha mida wake baada ya siku 14 maana sio Tanzania wala Kenya haitaweza kumpima dereva ndani ya siku 14 Sasa Kama wewe kweli unayo akili mbongo gani atakubali akae Kenya zaidi ya cku 14 ili muwe na haki ya kumpima? Kama uelewe omba ueleweshwe sio unabwabwaja tu tunakuona kichwa hakijakomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe una nyadhifa gani labda serikalini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Main point is testing would be done using stipulated WHO procedure. Further to that , there would be centers where Truck Drivers would rest and from there randam sample for testing could taken. Postive one's would not be allowed to continue with safari. All in all its not who won rather people of EAC will serveced with safe hands
 

Precisely my point, the main objective is to ensure individuals infected with corona but are asymptomatic don't proceed beyond the border.
Though publicized as "random tests", but it'll be thorough and with no exception, there are normally roughly a maximum of 200 drivers crossing the border daily, we have ability to test thousands per day, so this number is a walk-over.
It must be noted a simple mistake of allowing even a single case to slip through will end up being costly to the host nation.
 
Truck drivers in waiting to be tested at Mabibo's National Public Health Laboratory. Each of these drivers will be issued with a certificate that will allow them to enter Kenya UNBOTHERED by authorities there as a truce agreed by Tanzania and Kenya at Namanga border point on 22.05.2020.


Wakipokea lecture kutoka Waziri wa Afya Bi Ummy Mwalimu!


Wakiskiliza..





#UkaidiwaMagufuli#
#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…