Kenya na Uganda

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
WanaJF, Kenya na Uganda wafanyakazi wanauwezo wa kubadilishana vituo vya kazi kwa mfano walimu na wauguzi. Naomba msaada wa kujua hilo maana nataka ni extend system ya kubadilishana vituo vya walimu na wauguzi iwe EAST Africa kote.

Nawalikisha asanteni.
 
Ushasema kenya na Uganda sisi wa tz tuvunge
 
Sijakuelewa.
Uki-rephrase itakuwa poa.
Iko ivi nataka nijue kama kenya wafanyakazi kama walimu na wauguzi serikali inatoa barua ya uhamisho kwa wafanyakazi kubadilishana vituo vya kazi.
 
Iko ivi nataka nijue kama kenya wafanyakazi kama walimu na wauguzi serikali inatoa barua ya uhamisho kwa wafanyakazi kubadilishana vituo vya kazi.
Siifanyi serikali kazi, lakini najua kuwa wafanyikazi hao huwa wana uhuru wa kufanya kazi kwenye county yoyote ile wanayotaka.

Mikataba gani iyo mkuu unaweza elezea aisee.
Zimekuwa kwa habari mara nyingi. Siwezi kumbuka articles zote nilizosoma. Lakini angalia kwenye East African Standard, na kwenye website ya EAC - East African Community | One People, One Destiny

Ukifanya custom news search pia unaweza pata labda - east africa cross border regulation - Google Search
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…