Kenya na ukabila kuliangamiza taifa

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,603
Reaction score
3,776
Katika nchi zenye uchumi unaokua vzr hapa afrika mashariki ni kenya.
Shida Kenya inakuja kumalizwa na ukabila na si mkenya kusimamia utaifa.ukiangalia hata haya makundi yanakuja kwa ashki ya komoa Kabila lile kisa raisi Ni wa Kabila lile,mfano Ni ulio hai Ni Mungiki.ni nani asiyejua Mungiki Ni ya ukabila?na ningumu hata kuyatoa makundi ya ugaidi kama si kumaliza utofauti wa ukabila.
Hebu ondoeni jinamizi la ukabila muone matunda ya Amani.
Jembe afrika
 

wambie, jamaa zetu hao! Wajitathmini
 

Mkuu, wakati wa mwisho ulipoona wala kusikia Mungiki ilikuwa lini? marehemu Michuki alimaliza Mungiki kitambo na kulizika kwenye kaburi la sahau. kabila linalotusumbua hapa Kenya ni ugaidi tu, hizo zingine zote ni siasa tu. Tunatofauti zetu za kikabila lakini ukiangalia vizuri ni kabila mbili tu ambazo huzozana na hiyo ilianza miaka ya sixties wakati wa mzee Kenyatta na mzee Oginga Odinga. Kenyans are very patriotic people, we have pride in our country, tumeungana kama waKenya kwenye nyanja nyingi tu bila kujali huyu ni wa kabila gani, kama juzi KOT walichangisha USD 60,000 kwenye siku mbili ili kijana wetu apelekwe matibabu njee ya nchi, there are millions of incidences that Kenyans pull together. shida kubwa ni wanasiasa na mda si mrefu, kuna ambao watafungwa kwa matamshi yao ya uchochezi. Kenya inasonga mbele, tuna changamoto nyingi lakini tutafanikiwa. ukitegemea turudi tulipokuwa 2007, nadhani utangoja sana.
 
jembe afrika
Hili suala la ukabila Kenya inasemekana imetiwa chumvi sana kwenye vyombo vya habari Tanzania.
Kwani huu uchumi wa Kenya ungejengekaje ikiwa kwa kweli tungekuwa tunachukiana na kugawanyika kila mara juu ya ukabila?
Ukabila hujitokeza tu, nyakati za siasa za uchaguzi. Lakini hili pia linaonyesha dalili ya kutokomea!

Wakenya hufanya kazi pamoja, hujumuika pamoja kwenye maeneo za burudani, huishi kwenye mitaa sawa, hamna mashule za kabila hili na lile au mahospitali au maeneo ya kuabudu au mikahawa nk. Sote tunaelewa ya kwamba tunahitajiana despite kuwa wa makabila tofauti. Wakenya kutoka makabila tofauti huoana wenyewe kwa wenyewe.

Kundi haramu la Mungiki, wengi wa wafuasi wake walikuwa wakikuyu, ndio. Lakini pia kulikuwepo na wafuasi kutoka makabila mengine, mradi tu wangeprove their loyalty to the group.
Aliyeangamiza Mungiki karibu miaka kumi iliyopita alikuwa mkikuyu mwenyewe, marehemu John Michuki jinsi mkuu Smatta ameelezea hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…