Habarini
Kama ulaji wa nyama ya punda utaendelea kama ilivyo sasa nchini Kenya, baada ya miaka minne hakutakuwa na punda yoyote nchini humo. Kwa mujibu wa utafiti wa Africa Network for Animal Welfare (ANAW), jumla ya punda 1000 wanaliwa kwa siku nchini humo.