Kenya ni nchi ambayo kila siku kuna jambo la maajabu au la ucheshi linafanyika. Huyu kaka naye kajishonea suti ambalo trouser linafika kwenye makwapa.[emoji16][emoji16][emoji16]
Sema wewe ndio una roho mbaya.Ucheshi !! Sema Kenya ndo nchi pekee duniani yenye wendawazimu wengi , sasa hayo unaona ya uzima huyo mtu mwenyewe tu unamuona jinsi alivyo hamnazo