Kenya ndio tegemezi mpya la soko la Tanzania, hivyo chokochoko ziishe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Soko la Tanzania limepungua tegemezi lake kwenye mataifa kama China, Japan, India n.k. na kuongeza utegemezi wake kwa Kenya, Zambia na Afrika Kusini, hivyo ni muhimu sana Watanzania wanaopenda kushabikia chokochoko zao dhidi ya Kenya wajifunze kitu hapo.
-----------------------------------------------------------

. Tanzania has made a major shift in trading in the first nine months of this year, with decreasing trade values among its major traditional partners, while it witnessed the emerging of new trade partners.
In that regard, the share of Tanzania’s exports to the European Union (EU), Japan, the Middle East North Africa (MENA), India and China has continued to shrink.
On the other hand, Zambia, Kenya and Turkey are emerging as Tanzania’s major export destinations.
Tanzania ‘shifting from traditional trade partners’
 
So ina maana Kenyans mna buy sana Tanzania recently??

Tukibana kuwauzia msisosi mtakufa njaa manyang'au...
 
Sipo hapa kuitetea serikali ya CCM..nasema tu biashara hua haigombi,tunaenda kwenye bei nzuri,nothing personal..

Mambo ya ugomvi na roho mbaya pambaneni na serikali isiyosikia ya jiwe na grupu la wanyang'anyi la CCM...

We have nothing to do with haya maharamia ya CCM!

We are honest East Africans doing honest business just like everybody else!
 
Mkiangalia kiundani, hakuna chokochoko yoyote Tz imewafanyia, ni kufuata sheria zetu tu
 
henry kilenga Ukisusia utaishi kama wazee wa kale na wataanza kukuita hayawani. Vumilia tu, hadi soko letu la Ethiopia lifunguke. Baada ya hapo ruksa kwako kuoga na mizizi ya miti kama sokwe na kutumia jivu kung'arisha viatu vyako na kula mkate kavu kavu. [emoji38]
 
ohk lets see how the current tit for tat will iron out themselves!
 
Mtapata shida sana na kwashakooo kwani njaa mnaijua na ubavu wa kulima hamna .. cheza na wabongo nyie tuamue kukatavkamna kuwauzia na tupate soko nchi nyingine kama hamkuja Tanzania kwa magoti wakenya wote kuomba tuwape msosi😁😁
Ina maana tukisusia bidhaa zenu ziaozea maghalani.[/QUOTE
 

Ahaaa haaa haaa
mwingine huyu muhanga wa vyeti feki.
Teh teh teh tihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…