Kenya ndiye baba yenu East Africa, mpende msipende!

Sasa sijui nani mwingine aliyesalia wa kuwadharau nyie, mumebugi sana....

kama kenya haikushikiria msimamo wake angarau kwa wiki moja,zimbabwe hawawezi maliza siku mbili wataahirisha maamuzi yao.

sisi huwa hatukurupuki,ndio sababu unaumia sana maana unajua msemaji wa mwisho ni tz[emoji16][emoji16][emoji16].

pole mkuu.
 
Gazeti hili kulisoma muda huo uko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…