Kenya ni failed state,ona hichi kituko kwenye elimu yao

The funny thing is that wanauliza kama hiyo advert iko Tanzania when Dar es salaam is well mentioned! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
unaamuaga kiwa mpuuzi tu,hata sijui kwanini!!!

unazijua shule ngapi za maana tz zina waalimu kutoka kenya kwa vigezo vyako!!!!
 
Kwa hiyo ikipostiwa mara, then it's already justified it comes from the credible source.
Jibu swali: umejuaje kama hapo ni Dar?
Must that place be Dar for it to be Tanzania? That advert might be in Sirare border, Mbeya or Shinyanga but shule inayotaka waalimu waliosomea Kenya ipo Dar. Is that too difficult to comprehend?
 
Wee bwana mdogo hujui tu.
Cooking and doctoring data is very serious offence.
Sasa imekuwa cooked and doctored! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ I like how you are consoling yourself. And which data are you talking about by the way?
 
Must that place be Dar for it to be Tanzania? That advert might be in Sirare border, Mbeya or Shinyanga but shule inayotaka waalimu waliosomea Kenya ipo Dar. Is that too difficult to comprehend?

Bado umri wako ni mdogo. Ukikua utaelewa tu.
Kwa hiyo ukiwa London, ukaona mkahawa umeandikwa Zanzibar, utaanza kusema huu mkahawa uko Zanzibar.

Anyways, ngoja nisiendelee kupoteza nguvu na muda wangu.
🀣🀣🀣
 
Kwa nini watanzania tunawasakama sana Wakenya na wao hawana time na sisi?. Je hii itatufanya tusahai changamoto zetu na kuwakumbusha zao iliwazofanyie kazi?
Angalia shule zetu
Kenya hiyo
Sio bongo mzee...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado umri wako ni mdogo. Ukikua utaelewa tu.
Kwa hiyo ukiwa London, ukaona mkahawa umeandikwa Zanzibar, utaanza kusema huu mkahawa uko Zanzibar.

Anyways, ngoja nisiendelee kupoteza nguvu na muda wangu.
🀣🀣🀣
Kwa hivyo hiyo advert iko Kenya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ is that your point? Tutaendelea kuwapa walimu waliohitimu kadri mnavyotaka. We are at your service πŸ˜‚
 
Kwa hivyo hiyo advert iko Kenya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ is that your point? Tutaendelea kuwapa walimu waliohitimu kadri mnavyotaka. We are at your service πŸ˜‚

I don't know where is it.
But how do you it's in Tanzania especially Dar?
Give evidence.
 
Mbona tutumie mate kuandika ilhali wino ipo, hawa malazy wasikupe tabu tunawafahamu sana, wale wamesomea Kenya huwa nafuu sio kama hao wa huko....cheki hii hapa

a
 
Wewe acha tu nikupuuze, hauna hoja
unataka hoja kwa akili zipi uko nazo[emoji38][emoji38].

msaidie huyo maamuma kupata mhitimu wa ualimi kutoka kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona tutumie mate kuandika ilhali wino ipo, hawa malazy wasikupe tabu tunawafahamu sana, wale wamesomea Kenya huwa nafuu sio kama hao wa huko....cheki hii hapa

View attachment 1668832a
anatafutwa mtu,kwani si wengi huja kusoma huko wako wapi???[emoji38][emoji38][emoji38]
 
anatafutwa mtu,kwani si wengi huja kusoma huko wako wapi???[emoji38][emoji38][emoji38]

Wakija huko hutema yai na kupokelewa kwenye kila kampuni sio kama mazezeta wa Buza mlioganda huko na ze ze ze
 
Miaka ipi hili tangazo.
Are sure that advert is in Dar?
Ukweli inawatesa sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , licha ya changamoto zetu we remain on top of you forever, TZni aibu tupu EAC! mnatuaibisha sana!!
 
Mbona tutumie mate kuandika ilhali wino ipo, hawa malazy wasikupe tabu tunawafahamu sana, wale wamesomea Kenya huwa nafuu sio kama hao wa huko....cheki hii hapa

View attachment 1668832a
Washakataa hiyo picha kitaambo na kusema haipo Tanzania. Mwingine kanichekesha aliposema ni doctored "data" Tunadeal na mazuzu wengi hapa ndani
 
Wakija huko hutema yai na kupokelewa kwenye kila kampuni sio kama mazezeta wa Buza mlioganda huko na ze ze ze
ndio sababu mlitaka kuwa mnajazana huku mpewe hata ualimu wa nursery[emoji23][emoji23].

maisha magumu huko.
 
Ukweli inawatesa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] , licha ya changamoto zetu we remain on top of you forever, TZni aibu tupu EAC! mnatuaibisha sana!!
na tutawaaibisha zaidi,si unajua sisi ndio tunaamua hatima ya EA countries[emoji23][emoji23][emoji23]

licha ya nyinyi kuwa na uchumi wa baloon[emoji1787][emoji1787]
 
Kenya hiyo
Sio bongo mzee...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tembea Tanzania wewe, kumbe naweza kua naifahamu nchi yako kukuliko! Tz iko na poor conditions kwa wingi, propaganda ya CCM imebana ukweli kwa wingi, fanya utafiti, ndio maana mnatajwa masikini wa kutupwa wa tatu kwa kigezo cha below $0.90 Africa yote, si utani, ni facts! |Wachana na Kenya, jiangalieni kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…